1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Fadlu ahusika kuvunjwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoong . . .

Enock Bella ajitokeza kumuomba msamaha Mbosso

Msaniii Enock Bella amejitokeza hadharani kumuomba msamaha Mbosso kwa yote ambayo amemkosea katika maisha waliyoishi zamani mpaka . . .

Jembe Michezo

Manchester United imetia saini na mshambuliaji kinda

Manchester United imemsajili rasmi Enzo Kana-Biyik, mshambuliaji  kinda mwenye umri wa miaka 18 kutoka Le Havre, kwa uhamisho . . .

Azam Yamnasa Lamek Lawi Kutoka Coastal Union kwa Mkataba wa Miaka Miwili

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumta . . .

Jembe Habari

Serikali yaendelea kuboresha mazingira rafiki kwa wafanya biashara

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeendelea kuboresha mazingira ya biashara kwa kushirikiana kwa karibu na se . . .

Habari Zote
Teknolojia

YAS ANZIA ULIPO :TUPOKIGWE AMBWENE KUTOKA MASTERS YA UTANGAZAJI HADI KUUZA MAKANDE POINT.

Katika dunia ya leo ambapo mafanikio hupimwa kwa vyeo, mshahara mkubwa na umaarufu, kuna hadithi chache sana zinazobeba uzito wa uhalisia ka . . .

Teknolojia

ANZIA ULIPO: KUTOKA FREELANCER WA LAINI ZA YAS HADI KUMILIKI BIASHARA YA MAGARI

Watu wengi huota kuwa wafanyabiashara wakubwa, lakini si wote wanaochukua hatua za kweli za kuanza na kudumu. Hii ni hadithi ya kijana wa Ki . . .

Teknolojia

JINSI NYANDA KABUNDI ALIVYOANZA SAFARI YA KITEKNOLOJIA KUTOKA KIJIJINI AKAANZIA ALIPO KAMA YAS

Kwenye familia ya Nyanda , maisha yalizunguka kwenye jambo moja kuu ufugaji na kilimo Hilo ndilo jambo lililopewa uzito kuliko chochote king . . .

Teknolojia

YAS YAZINDUA KAMPENI YA “ANZIA ULIPO” KANDA YA ZIWA SAFARI YA KUWAWEZESHA WATEJA KUFIKIA NDOTO ZAO

Katika tukio maalum lililofanyika ndani ya Kanda ya Ziwa, kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi kampeni yake kubwa iitwayo “Anzia . . .

SOKA

Manchester United imetia saini na mshambuliaji kinda

Manchester United imemsajili rasmi Enzo Kana-Biyik, mshambuliaji  kinda mwenye umri wa miaka 18 kutoka Le Havre, kwa uhamisho wa bure b . . .

Kimataifa

Trump kutoza ushuru wa 50% wa bidhaa zinazotoka Brazil

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kutoza ushuru wa 50% kwa bidhaa zote zinazotoka Brazil, siku chache tu baada ya vita vya maneno had . . .