Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023), sasa inasubiri kuona itakuwa kundi gani na nani ikipangwa nazo kwa . . .
Kikosi cha Young Africans kinatarajia kuondoka nchini leo Alhamis (Septemba 14) kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuwafuata Al Merrikh kutoka Sudan katika mechi ya kwanza ya h . . .
Kiungo wa Juventus, Mfaransa Paul Pogba, amesimamishwa kwa muda kucheza Soka, kutokana na kukutwa na hatia ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ambazo zimezuiliwa michez . . .
Uongozi wa Klabu Bingwa nchini England ‘Manchester City’, una mpango wa kumpatia ofa mpya staa wake, Erling Haaland ya mshahara wa pauni 600,000 kwa juma.Imeelezwa ku . . .
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint- Germain Kylian Mbappe amesifiwa na mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kiwango bora anachoendelea kuonyesha. . . .
Chelsea imethibitisha kumsajili mchezaji, Cole Palmer kutokea Manchester City.Kiungo huyo Mshambuliaji amejiunga na The Blues kwa dau la paundi milioni 42.5 kwa . . .
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa UbingwaAidha, Mshambuliaj . . .
Mama Mzazi wa Rais wa Shirikisho la soka la Hispania Luis Rubiales amelazwa baada ya hali yake kubadilika wakati akiwa kwenye mgomo wa kula kufuatia tuhuma za � . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ubelgiji Eden Hazard amepanga kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 32, huku ikidaiwa amegomea ofa kibao za kwenda kucheza soka nchini Sa . . .
Singida Fountain Gate imeachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm raia wa kwa Uholanzi ambaye aliongeza mkataba mpya ikimaanisha mwaka mmoja alipomaliza Juni 30.Taarifa i . . .
Septemba 7-2023 Tanzania watakuwa na mchezo wa kufu kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Algeria (ugenini).kimahesabu Tanzania anahitaji alama moja tu ili afuzu fainali hi . . .
Wafanyakazi 11 katika soka la Hispania wamejiuzulu kufuatia sakata la busu lililotokea katika sherehe za Kombe la Dunia la Wanawake huko Sydney, Australia.Kati ya walioji . . .
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani (FIFA) imemsimamisha kwa muda mkuu wa shirikisho la soka la Uhispania Luis Rubiales kwa siku 90, FIFA imesema Jumamosi ya . . .
Nahodha na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miaka minne.Hii ni mara y . . .
Rais wa Shirikisho la Soka nchini Hispania ‘RFEF’ amejibu mapigo juu ya kushutumiwa kumbusu mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake iliyotwaa Kombe la Dunia kwa ushindi . . .
Hatimaye Mlinda Lango wa zamani wa Ligi Kuu England, Ben Foster ametangaza kustaafu soka.Mchezaji huyo mwenye miaka 40, alishatangaza kustaafu Septemba mwaka jana baada y . . .
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF, Deodatus Balile amesema, wadau wa habari wangependa ukamilifu wa uundwaji wa kanuni za habari usivuke mwezi Oktoba 20 . . .
Chelsea imetangaza kumsajili kiungo, Romeo Lavia kutoka Southampton kwa mkataba wa awali wenye thamani ya pauni milioni 53 pamoja na nyongeza za pauni milioni 5.Mchezaji . . .
Beki kutoka nchini England Harry Maguire ameuvimbia Uongozi wa Manchester United akitaka alipwe Pauni 15 Milioni kwanza, kabla ya kukubali kwenda kujiunga na West H . . .
Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema kuwa Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi y . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Songne ameaga rasmi Ihefu SC, baada ya kukamilisha mpango wa kusajiliwa na Arta Solar 7 ya Djibout.Yacouba alijiunga Ihefu . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Brazil Neymar da Silva Santos Júnior ameamua kuachana na maisha jijini Paris, Ufaransa na kutimkia zake Saudia Arabia ambako anakwenda . . .
Real Madrid wamekamilisha usajili wa Kipa Arrizabalaga kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Chelsea.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikosekana uwanjani wakati Chelsea i . . .
Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshind . . .
Beki wa Manchester United, Harry Maguire, huenda akaendelea kusalia kwenye viunga vya Manchester United, kufuatia kukataa kujiunga na timu ambayo haitoshiriki Ligi ya Mab . . .
Mlinda Lango kutoka nchini Cameroon Andre Onana amekubali kukosolewa na mashabiki baada ya kuruhusu bao lake la kwanza Old Trafford kwenye mchezo wa mwisho wa kujiandaa n . . .
Robertinho and his technical team don’t have any excuses this season.1. Apart from goalkeeper, he has all the players wanted.2. Did his own pre season with the squad.3. . . .
Timu hizi zimefanikiwa kuingia raundi ya 16 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa Afrika Kusini na mara tatu kw Nigeria huku pia timu ya Afrika Kusini ikiandika historia . . .
Waziri wa michezo wa Somalia ameomba radhi baada ya mshiriki mwanamke katika mbio za kimataifa za mita 100 kuonekana akikimbia taratibu kiasi kwamba watu wanahoji aliweza . . .
Pamoja na Klabu ya Manchester United kuonekana ipo kwenye hatua nzuri kuipata huduma ya kiungo wa Fiorentina, Sofyan Amrabat, taarifa zinadai dili hilo huenda likapinduka . . .
Serikali imewatoa hofu watanzania na kusema inaendelea na mchakato wa kumpata mkandarasi wa kuanza ujenzi wa Uwanja wa kimataifa mkoani Dodoma.Pamoja na uwanja wa Dodoma, . . .
Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 202 . . .
Mshambuliaji mpya wa Young Africans, Hafiz Konkoni, ametamba kuisaidia Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans kufanya vizuri, ili kutetea mataji na kutikisa vilivyo kw . . .