FC Barcelona inaweza kuchukua hatua ya kumsajili, Lionel Messi, lakini La Liga haitabadilisha kanuni zake ili kusaidia hilo, kwa mujibu wa Rais wa Ligi Kuu Hispania, Javi . . .
Klabu Bingwa nchini England Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya Mshambuliaji Erling Haaland baada ya kuwakosha kwa huduma yake moto katika msimu huu wa kwanza k . . .
Huenda Simba SC ikawakosa Aishi Manula na Sadio Kanoute katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca ya Moro . . .
Klabu ya Real Madrid ya Uhispania imefabikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA Champions League) baada ya kuikanda Chelsea (wenyeji wa . . .
Imefahamika kuwa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City, wameanza mikakati ya kumnasa kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham ili kumsajili kwa msimu ujao w . . .
Mshambuliaji Kylian Mbappe amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain kwenye Ligi Kuu ya nchi hiyo ‘Ligue 1’, huku mabingw . . .
Katika hali ya kushangaza, imebainika kuwa Beki wa Kulia kutoka Morocco na Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi hamiliki chochote, licha ya kuli . . .
Beki wa Klabu ya Chelsea, Ben Chilwell amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga kwenye timu hiyo akiahidi kujituma zaidi.Beki huyo amecheza mechi 81 katika mas . . .
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kimataifa ya Kanda ya tatu ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kufanyika Aprili 18 hadi 23, mwaka huu, katika Uwanja wa . . .
FRANK Lampard alianza vibaya awamu yake ya pili ya ukufunzi kambini mwa Chelsea kwa kichapo cha 1-0 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) . . .
Makamu wa Rais wa FC Barcelona, Rafa Yuste, amesema hana uhakika wa asilimia 100 kama Mshambuliaji kinda wa klabu hiyo Ansu Fati atasalia klabuni hapo, licha ya kufahamu . . .
Kiungo kutoka Visiwani Zanzibar na klabu ya Young Africans Mudathir Yahya Abbas amefichua siri ya bao lake alilofunga dhidi ya TP Mazembe ambalo limeibuka Bao Bora la Kom . . .
Baada ya Yanga kuizamisha TP Mazembe kwenye dimba lao la nyumbani huko DR Congo kwa kuwachapa bao 1-0, US Monastir walipaswa kushinda angalau mabao matatu dhidi ya Real B . . .
Klabu ya Chelsea imemtimua Kocha wake Graham Potter baada ya muendelezo wa matokeo mabovu ya klabu hiyo huku jana Jumamosi akipokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Asto . . .
Serikali imehaidi kufanya Maboresho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwemo kununua jenereta mbili kubwa ambazo zitatumika wakati umeme utakapokatika.Kauli hiyo, imetolew . . .
Imeelezwa kuwa mmiliki mwenza wa kutoka Familia ya Glazer, Avram Glazer hataki klabu ya Manchester United ipigwe bei kwa mujibu wa ripoti, licha ya klabu hiyo kuwekwa sok . . .
Majogoo wa Jiji ‘Liverpool’ wameanza mchakato wa kumfukuzia beki anayekipiga SL Benfica ya Ureno, Antonio Silva huku taarifa zikiripoti meneja wa Klabu hiyo ya Alfiel . . .
Aliyekuwa kiungo wa kati wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 34. Akitoa tanggazo hilo kupitia ukurasa wake wa . . .
KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kutua nchini Misri, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maandalizi ya mechi yao dhidi ya Uganda . . .
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Stumai Muki amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake kutoka Malawi, Chimwemwe Banda katika pambano lisilokuwa la ubingwa la kimata . . .
Kocha Mkuu wa US Monastir ya Tunisia, Novic Darko, ameshindwa kujizuia na kutamka kuwa kama akipewa nafasi ya kusajili Mshambuliaji msimu ujao, basi chaguo lake la kwanza . . .
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imewasili nchini Misri salama huku Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, akisema kuwa Tanzania ina nafasi ya kufanya vizu . . .
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limetangaza kuendesha mafunzo kwa makocha yakiwa na lengo la kuongeza idadi ya walimu wa mchezo huo. Makocha hao wataongezwa . . .
Nimesikia na kuona Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likitoa tuzo maalum kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kuwa mfano wa kuigwa . . .
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Real Madrid watakutana na Chelsea ya England katika mchezo wa Robo Fainali, baada ya kufanywa kwa Droo ya Michuano hiy . . .
Klabu ya Crystal Palace imempiga kalamu kocha mkuu Patrick Vieira baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mechi 12 zilizopita bila kusajili ushindi wowote. Palace haijashi . . .
Meneja wa Manchester United Erik Ten Hag ameonesha kusikitishwa na kitendo cha kukosa uthabiti katika maamuzi ya waamuzi baada ya kuchoshwa na uchezeshaji wa mwamuzi Anth . . .
Kamanda wa Uhamiaji Mkoa wa Tanga, Kagimbo Bakari amesema Jeshi hili limewakamata wahamiaji haramu wanne raia wa Cameroon, ambao wamedai wapo nchini kwa ajili ya ku . . .
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi, ametetea maamuzi yake ya kumtoa Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz . . .
Kwa mara nyingine tena Uongozi wa Young Africans umemwandikia Barua Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ya kumtaka kurejea kambini kujiun . . .
Lionel Messi ametumia pauni 175,000 kuwanunulia zawadi za simu 35 aina ya iPhone rangi ya dhahabu wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Argentina kutokana na mafanikio wa . . .
Rasmi mchezo wa 16 Bora Kombe la Shirikisho Tanzania Barani ‘ASFC’ kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisons ut . . .
Shirikisho la Soka Nchini Uganda ‘FUFA’ limeusogeza mbele Mchezo wa Ligi Kuu nchini humo kati ya Arua Hill SC dhidi ya Vipers SC.Mchezo huo ulipangwa kuchezwa kesho M . . .