Watu wasio pungua 40 wameuawa kwenye mashambulizi makali dhidi ya jamii mbali mbali katika wilaya ya Zango Kataf, katika majimbo ya Kaduna na Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Wimbi jipya la . . .
Jeshi nchini Afrika ya Kusini limeingilia kati mgomo wa Wahudumu wa afya kwa kupeleka Madaktari wake katika hospitali kadhaa za umma, ili kupunguza madhara na vifo, huku Serikali ikisema hali hiyo ili . . .
Serikali nchini Malawi, imetangaza hali ya hatari na maafa katika eneo la kusini mwa nchi hiyo, na kusema idadi ya watu 99 waliofariki kutokana na Kimbunga Freddy huenda ikaongezeka na kwamba Shule zi . . .
HABARIMhasibu Wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto, Kamanda Aeleza; ”Ni Moto Wa Mafuta Ya Petroli”-VideoLAST UPDATED MAR 13, 2023 0 ShareJeshi la Polisi mkoani Pwani limethibitish . . .
Korea kaskazini imefyatua makombora mawili kutoka kwenye nyambizi katika Bahari ya Mashariki. Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazini, KNCA limesema makombora hayo yalifyatuliwa Jumapili asub . . .
Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu 16 wakati wa shambulizi kaskazini magharibi mwa Nigeria, serikali ilisema Jumapili.Washambuliaji hao walivamia eneo la Serikali ya Mtaa ya Zangon Kataf katika . . .
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema tukio hilo la mauaji liligundulika machi 7 mwaka huu majira ya saa 9.30 aliasiri.Katika hali isi . . .
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ.Mfanyakazi huyo . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Muhyiddin Yassin amekamatwa na Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini humo, ikimtuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo ubadhilifu katika mradi wa Jana Wibawa unaohusishwa . . .
Prisca Lameck mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake mwenye umri wa miezi mitatu akidai kuwa ugumu wa Maish . . .
Watu tisa wamefariki na wengine 30 wamejeruhiwa kwa ajali iliyotokea katika Mlima mkali wa Nkondwe, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi.Ajali hiyo imehusisha basi (Tata) lenye nam . . .
Mtoto Consolanta Charles mwenye umri wa miaka 16 katika Kitongoji cha Mkuyuni Kijiji cha Magamba Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki dunia wakati akipatiwa huduma ya maombi kwa mchungaji.Imeele . . .
Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na . . .
Mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili ya mwanamke aliyekuwa akiishi naye kama mkewe Wilayani Moshi, amemtumia ujumbe mama mkwe akieleza mazingira ya mauaji hayo.Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamsaka . . .
Polisi nchini Peru wamemkamata msafirishaji wa bidhaa baada ya kupatikana na maiti ya kale katika begi lake. Mwanamume huyo ambaye alikuwa akiisafirisha maiti hiyo na marafiki zake wawili, wakiwa . . .
Mwanafunzi wa darasa la sita, katika shule ya msingi Lyoto, Kata ya Ilemi jijini Mbeya, Ibrahim Edson (12), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani chumbani kwake, chanzo kikid . . .
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, ACP Isack Mushi amesema Jeshi hilo linafanya uchunguzi wa matukio mawili ya vifo vya watoto wawili wanaodaiwa kujinyonga ambapo mmoja alichukua hatua hi . . .
Msimamizi Mkuu wa kituo cha treni cha Larissa nchini Ugiriki, ameshtakiwa kwa makosa ya kuua bila kukusudia baada ya ajali ya treni kusababisha vifo vya watu 43, wiki hii.Umoja wa wafanyakazi wa Reli . . .
Abiria waliokua wanasafiri na basi la Happy Nation lililokua likitokea mkoani Kagera kuelekea Dar es salaam wamenusurika kifo kufuatia gari hilo kupata ajali katika eneo la Vigwaza Mlandizi mkoani Pwa . . .
Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Maketi Msangi amesema mkoa huo unaendelea kuongoza kwa matukio ya mauaji, kujinyonga na kujeruhi, ambapo kwa kipindi cha mwaka jana kulikuwa na matukio yasiyo . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amemfukuza kazi Kamanada wa Operesheni ya vikosi vya pamoja Meja Jenerali Eduard Mykhailovich Moskalov.Zelensky hakutoa maelezo ya kufukuzwa kwa Moskalov, lakini ni . . .
Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa amesoma mashtaka ya Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ), MT 89487 CPL Hamis Ramadhan (36) katika Mahakama ya a Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam akikabili . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga imesema imepokea Majeruhi 37 waliotokana na ajali ya leo asubuhi ya Basi la abiria la ‘mwendokasi’ kugongana na gari dogo eneo la Kisutu Jijini Dar es salaam.Ka . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote nchini. ”Nawatakia Kwaresma njema Wakristo wote. Katika hija hii ya kiroho mnayoianza leo kw . . .