Taarifa kutoka Ruvu, zinasema asubuhi ya leo Machi 28, 2024 imetokea ajali iliyohusisha bus la Kampuni ya Sauli lenye namba za usajili T 668 DTF, Basi la Kampuni ya Newforce lenye usajili T 175 DZU (G . . .
MWANAMUME aliyepoteza jamaa zake wanne katika mauaji yaliyotokana na itikadi kali yaliyohusishwa na mhubiri Paul Mackenzie Shakahola, Kilifi, anaiomba serikali kumsaidia kuwazika.Miili ya jamaa hao il . . .
Zaidi ya watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria mapema mwezi huu waliachiliwa Jumapili bila kujeruhiwa, maafisa na jeshi walisema.Utekaji nyara huo w . . .
Nchini Chad, mvutano bado unaendelea kushuhudiwa nchini humo, baada ya kifo cha mmoja wa wapinzani wakuu wa mamlaka ya baba na mwanaye Mahamat Déby, Yaya Dillo mnamo Februari 28, wakati vikosi vya us . . .
Familia ya mwanafunzi wa darasa la 8 katika Shule ya Msingi ya Joy Garden huko Tena-Umoja ina shauku kuhusu ripoti ya uchunguzi kifo cha mtoto wao. Mnamo Ijumaa, Machi 9, mwili wa mwanafunzi mwen . . .
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happn . . .
Mahakama nchini Kenya imemhukumu kifo Joseph Kuria Irungu ‘Jowie’ kwa kuhusika na mauaji ya Mfanyabiashara Monica Kimani yaliyotokea Septemba 2018.Hukumu hiyo, imetolewa na Jaji Grace Nzioka baada . . .
Mahakama ya jijini Kigali imemuhukumu raia wake Denis Kazungu, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya watu kadhaa, ambao miili yao ilikutwa imezikwa nyumbani kwake.Kazungu a . . .
Takriban watu 15 waliuawa hapo jana Jumatatu baada ya waasi wa M23 kufanya mashambulizi makubwa katika eneo la Rutshuru kwenye jimbo la mashariki la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ko . . .
OLISI wanachunguza ajali ya ndege mbili zilizogongana juu hewani Jumanne asubuhi jijini Nairobi.Ndege ya Safarilink iliyokuwa ikielekea Diani katika Kaunti ya Kwale, imelazimika kutua uwanjani Wilson . . .
Watu 25 wameafariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru . . .
Bar ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto muda huu .Chanzo cha moto Bado hakijajulikana.Endelea kukaa karibu na mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi . . .
Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la kutaka kusitisha mazishi ya mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum. Mnamo Alhamisi, Februari 22, Ednar Owuor, kupitia kwa wakili wak . . .
BABA YANGU AMENIBAKA MIAKA 2,AMENIPA UKIMWI,FOUNDATION KARIBU TANZANIA . . .
Mtoto mdogo mwenye miaka 6 mwanafunzi wa darasa la awali shule ya msingi Mapea kata ya Magugu wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili kisha kutupwa m . . .
FAMILIA moja kutoka kijiji cha Ngeene, Kaunti ya Meru ilipata mshtuko baada ya kijana wa umri wa miaka 27 kuua mamake na nyanya, 90.Wakazi walisema Jamleck Murithi alitekeleza unyama huo baada ya kuwa . . .
Wafanyakazi wa meli ya mizigo katika Bahari ya Sham walilazimika kuiacha meli yao Jumatatu usiku, baada ya wanamgambo wa Kihouthi kuishambulia kwa kombora la masafa marefu, lililorushwa kutoka Yemen, . . .
Msururu wa ufyatuaji wa risasi uliua mtu mmoja na kujeruhi wengine 21 Jumatano nje ya kituo kikuu cha reli katika mji wa Kansas, jimbo la Missouri, hapa Marekani, ambapo mabingwa wa mwaka huu wa mashi . . .
NDEGE NA BOTI ZILIVYO ZIMA MOTO WA MTUMBWI ULIOWAKA NDANI YA ZIWA VICTORIA,KAMANDA LABANI ATOA NENO . . .
Mlipuko wa bomu katika kambi ya wakimbizi, umesababisha vifo vya watu watatu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huku Afrika Kusini ikiridhia kupeleka wanajeshi wake 2,900 katika eneo hilo . . .
MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.Marehemu aliyetambulishwa na polisi kama Den . . .
Jeshi la Israel limesema kwamba takriban roketi 30 zimerushwa kaskazini mwa Israel usiku wa kuamkia leo, kutoka Lebanon kufuatia shambulizi la droni la Israel lililojeruhi kamanda wa kundi la Hezbolla . . .
Mwendesha bodaboda mwenye umri wa miaka 27 amepatikana akiwa amefariki baada ya kulalamika kuhusu matatizo mengi maishani mwake. Aliyetambuliwa kwa jina la Peter Kimuli, inasemekana alichoma nguo . . .
MAPIGANO yanayoendelea baina ya makundi tofauti magharibi mwa Sudan Kusini yamesababisha vifo vya angalau watu 26, walisema maafisa wa serikali mnamo Jumanne.Hayo yalijiri huku rais na makam . . .