logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
matukio
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Mzee wa miaka 80 ambaka mjukuu wake

Mzee Luhende Tugwa (80) mkazi wa Kijiji cha Ihapa Kata ya Old Shinyanga anashikiliwa na jeshi la Polisi  kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake anayesoma shule ya msingi Old Shinyanga Manispaa ya Shin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Biden asema nchi yake imepiga hatua kiuchumi

RAIS wa Amerika, Joe Biden, amesifu utawala wake akisema ameweza kutekeleza baadhi ya ahadi zake. Akizungumza bungeni wakati wa hotuba yake ya pili kuhusu hali ya taifa la Amerika Jumanne usiku, Rais . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Rais Erdogan wa Uturuki akiri serikali yake ilipata changamoto kushughulikia tetemeko baya la ardhi

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan Jumatano alikiri kwamba kulikuwa na matatizo jinsi serikali yake ilivyoshughulikia tetemeko baya la ardhi kusini mwa Uturuki, huku waathirika wakiwa na hasira na k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Rais Paul Kagame auzungumzia mzozo wa DRC

Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mara nyingine tena amekwenda mbali na kuzungumzia mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji wa kundi l . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 8, 2023

Mbaroni kwa kuwakalisha chini Wanafunzi, kuwapiga picha

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linamshikilia Mwalimu Elisha Chonya kwa tuhuma za kuwakalisha chini wanafunzi wa kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Sinde na kisha kuwapiga picha na kusambaza kwenye mi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Ulaya yaweka marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia

Ulaya Jumapili imeweka marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia na bidhaa nyingine za mafuta yaliyosafishwa, ikipunguza utegemezi wa nishati ya Moscow na kutafuta kupunguza zaidi mapato ya mafuta ghafi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Uchunguzi maji ya maiti kuhifadhi samaki waanza

HOSPITALI ya Rufani ya Kanda ya Bugando imeanza uchunguzi kubaini ukweli wa taarifa za maji ya kuhifadhi maiti kutumika kuhifadhi samaki.Uchunguzi huo wa kisayansi unafanywa kufuatia agizo la Makamu w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 5, 2023

TEMESA yaziomba taasisi za umma kulipa madeni.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro Kilahala ametoa wito kwa Taasisi za Umma na Serikali zinazodaiwa na Wakala huo baada ya kupatiwa huduma za matengenezo ya magari, mi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Inspekta Jenerali wa Polisi Akiri Kuwa Ulinzi wa Uhuru Umefanyiwa Mageuzi Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/siasa/493142-inspekta-jenerali-wa-polisi-akiri-kuwa-ulinzi-wa-uhuru-umefanyiwa-mageuzi/

Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amekiri kuwa amefanya mageuzi kwenye kikosi cha ulinzi cha aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Koome anasema mageuzi hayo yalifanywa kwa sababu za kikazi ndan . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Samwel amwagiwa maji ya moto na Rehema

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Rehema Prosper (41), anayedaiwa kumjeruhi mpenzi wake aitwaye Timoth Samweli kwa kumwagia maji ya moto mgongoni, akimtuhumu kutoka kimapenzi na wanawake wen . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Sheikh Alhad "Sitokata Rufaa Kupinga Kutenguliwa"

Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya Baraza kat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Papa Francis awarai vijana wa Kongo kupiga vita rushwa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema anawategemea vijana kuiongoza Afrika kwenye mustakabali bora bila vita, mateso na rushwa.Katika mkutano wake na waumini wapatao 65,000 kwe . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Viongozi wa kikanda wakubaliana kuiangamiza al-Shabab

MIGOGOROSOMALIAViongozi wa kikanda wakubaliana kuiangamiza al-Shabab2 zilizopita2 zilizopitaViongozi wa Somalia, Djibouti, Ethiopia na Kenya wamekubaliana kupanga operesheni ya pamoja ya kijeshi ya '' . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

KUFIKIA DESEMBA 2023 WAUGUZI 3000 KUPATA MAFUNZO YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NCHINI.

Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wameendelea kutoa mafunzo juu ya magonjwa yasiyoambukiza ambapo hadi kufikia Desemba, 2023 mafunzo hayo yanategemea kuwafikia watoa huduma za Afya Msing . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

FBI Haijakuta Nyaraka Mpya Za Siri Katika Makazi Ya Rais Wa Marekani, Joe Biden

Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI hawakupata nyaraka mpya za siri katika operesheni yake ya Jumatano.Oparesheni hiyo imefanyika katika nyumba ya mapumziko ya rais wa Marekani, Joe Biden k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Marekani yamuwekea vikwazo mfanyabiashara wa silaha wa Russia

Marekani, Jumatano imewaweka maafisa wa biashara wenye uhusiano na  vita vya Russia dhidi ya Ukraine katika orodha ya vikwazo.Orodha hiyo inamjumuisha mlanguzi wa silaha Igor Zimenkov, mtoto wake . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Mwanafunzi Aliyepewa Tsh bil 40 na Mpenzi Wake Aruhusiwa Kuzitumia

Shirika la Urejeshaji Mali nchini Kenya limefutilia mbali kesi ya Tsh 40 bilioni dhidi ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu, Tebby Wambuku ambaye alipewa fedha hizo kama zawadi na mpenzi wake kutokea Ubelgiji . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

Mwekezaji adaiwa kulazimisha wananchi wauze nyumba

Wananchi wa mtaa wa Migombani, Kata ya Mitimirefu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamedai kulazimishwa kuuza nyumba zao kwa bei isiyoendana na thamani ya nyumba husika ili kumpisha mwekezaji aliy . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

MO APANDA KWENYE CHATI ZA MABILIONEA

MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi karibuni Jarida la Fobes kutoa orodha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Wachache wajitokeza kupiga kura Tunisia

Muungano wa upinzani nchini Tunisia umetoa mwito wa kuungana dhidi ya rais Kais Saied, baada ya raia wa Tunisia waliojitokeza katika duru ya pili ya kura Jumapili kwa bunge lisilokuwa na nguvu kuwa ni . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Mr Kuku anatafutwa na Waziri Bashe

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema kutokana na kuwepo kwa utapeli wanaofanyiwa Watanzania kwenye masuala ya kilimo, wizara hiyo imeanza kumfuatilia mtu anayejulikana kwa jina la Mr Kuku kwani ime . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Serikali Yataja chanzo cha Meli ya Makontena Kuzama Iran

Serikali imesema ajali ya meli ya mizigo iliyosajiliwa na Tanzania ambayo imezama katika bandari ya Assaluyer Kusini mwa Iran Jumatatu jioni ilisababishwa na upakiaji usiofaa wa makontena.Kwa mujibu w . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

Asilimia 87.79 wafaulu kidato cha nne

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Vitani Ukraine Wawasili Dar Ukitokea Urusi

Mwili  wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine wawasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi.Kwa mujibu wa familia, Tarimo alifariki mwishoni mwa mwezi Oktoba n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Wabunge wa Peru wawasilisha ombi la kumng'oa rais Boluarte

Wabunge kadhaa nchini Peru wamewasilisha hoja ya kumuondoa madarakani rais Dina Boluarte.Wabunge 28 wa mrengo wa kushoto na wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani mwishoni mwa mwaka uliopita Pe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

KILO 399.28 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

WANANCHI WATOLEWA HOFU TAARIFA YA UBALOZI WA MAREKANI

. . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Kenyatta atoa wito wa kupunguza mzozo DR Kongo

Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao matatizo yake yanayozidi kila kukicha yamechochea mvutano wa kidiplom . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Rwanda yasema ndege ya kivita ya Kongo imekiuka anga yake

Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, amesema ndege ya kivita aina ya Sukhoi 25 kutoka Congo iliingia katika anga yake kwa mara ya tatu, kupitia Rubavu karibu na mji wa Goma na hatua za kujili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Jokate amrithi Basilla Mwanukuzi

Uhamisho wa Jokate kutolewa Temeke kupelekwa wilayani Korogwe mkoani Tanga, umefanywa hii leo Januari 25, 2023, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Ikumbukwe Basilla . . .

Kurasa 55 ya 100

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

    • 8 masaa yaliopita
  • Charles Hillary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afariki Dunia

    • 8 masaa yaliopita
  • Kwa mala ya kwanza Papa Leo XIV akiwa PAPA, aongoza misa akisema; "Kanisa linaweza kusaidia Dunia"

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode