Sheikh Alhad "Sitokata Rufaa Kupinga Kutenguliwa"

Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya Baraza katika nafasi nyingine
-
 Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa. Ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina Mamlaka ya kufanya hivyo. Kwanini wameniondoa sijui, nadhani watayataja wao”

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii