Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Agostino Magere amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa chanzo cha moto huo kinachunguzwa.Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto . . .
Rais wa Marekani Donald TrumP ametoa kauli kali dhidi ya Makamu wa Rais wa Venezuela Delcy Rodríguez akionyesha msimamo mkali wa Washington kuhusu uongozi wa Caracas.Katika mahojiano na vyombo . . .
Watu 114 wameuwa nchini Sudan, baada ya kushuhudiwa kwa makabiliano makali kati ya wanajeshi wa wanamgambo wa RSF, Magharibi mwa jimbo la Darfur kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.Madaktari wamethibi . . .
Jumla ya Wapiga Kura 20,851 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi iliyopo katika Halmashauri ya . . .
Aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro aliyekamatwa pamoja mkewe Cilia Flores wakati wa operesheni maalum iliyotekelezwa na vikosi vya Marekani anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku ya Jumatatu, . . .
Watu wote 40 waliokufa katika moto uliotokea kwenye baa wakati wa mkesha wa Mwaka Mpya nchini Uswisi wametambuliwa na mamlaka za nchi hiyo.Polisi nchini humo imesema vijana ndio waliokuwa wengi miongo . . .
Mwanamume kutoka kijiji cha Sigomere katika kaunti ya Siaya amepata nafuu na faraja kufuatia kifo cha kusikitisha cha mbwa wake. Mwanamume huyo, aliyetambuliwa kama Charles Otieno Osore, alionyes . . .
Wapiganaji saba wa kundi la waasi wanaotaka kujitenga wameuawa katika mashambulizi ya angani huku muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen ukijibu mashambulizi makali dhidi ya Baraza la Mpito . . .
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Ngiri mara mbili na kurudishwa Gerezani chini ya ulinzi wa P . . .
Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa kwa umma kuwa linaendelea na uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 31, 2025 majira ya jioni katika Kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya y . . .
Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200 imeripotiwa kupinduka usiku wa manane mnamo Desemba 31 ,2025 karibu na Kijiji cha Jinack.Kwa . . .
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Ju Ae amekuwa akionekana mara kwa mara na kwa umaarufu mkubwa zaidi kwenye vyombo vya habari vya serikali, jambo ambalo limechochea nadharia kutoka kwa wacha . . .
WALIMU wakuu wa shule za upili sasa wanataka Wizara ya Elimu kutelekeza mfumo wa kitaifa wa kuteua wanafunzi wa Gredi 10 na kukumbatia mfumo ambapo shule zilisimamia uteuzi huo.Walimu hao wanasema mfu . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Desemba pekee sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 wa lengo l . . .
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa.Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimes . . .
Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha Umoja wa Mataifa hukali . . .
Kwa mujibu wa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Marekani, mashambulizi hayo yalifanyika Jumanne na kulenga msafara wa boti tatu hiuvyo watu wote waliouawa walikuwa ndani ya boti moja.Jeshi la Mareka . . .
Raia mashariki mwa nchi ya DRC, wameukaribisha mwaka mpya 2026 huku wakiwa hawana chakusherehekea kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama kwenye baadhi ya maeneo ya mashariki ambako waasi wa AFC/M23 . . .
Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikisema hakuna ushahidi wowote wa kuamini . . .
Mamilioni ya watu dunia(leo Desemba 2025) wanajiandaa kuupokei mwaka 2026 kwa Shangwe ,fataki,sala na salamu za heri . Lakini nyuma ya sherehe hizo ,swali moja linabaki 1 januari ilitoka wa . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama katika taarifa aliyoitoa Desemba 30 mwaka huu amewataja waliofariki kuwa ni Lukman Chimbilo aliyekuwa bodaboda Onea Onesmo na Gervas Gerald mwanafunz . . .
Umoja wa Falme za Kiarabu umesema unaondoa vikosi vyake vilivyobaki Yemen baada ya Saudi Arabia kutaka vikosi hivyo viondoke katika nchi hiyo maskini ya Rasi ya Uarabuni ndani ya saa 24.kufuatia shart . . .
Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.wakati wa mapumziko ya siku kuu wape . . .
Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Desembe 29 mwaka huu ambapo ni siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji mkuu huo kuandamana kupinga hali mbaya ya kiuchumi ambapo . . .
Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Jumanne, siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji huo mkuu kuandamana kupinga hali ya mbaya ya kiuchumi.Kulingana na Ilna shirika la ha . . .
Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.Polisi imesema wezi hao walifanya wi . . .
Urusi imeishtumu Ukraine kwa kujaribu kushambulia makazi ya Rais Vladimir Putin na kuapa kulipiza kisasi, bila kutoa ushahidi wa madai hayo ambayo Ukraine imeyapuuza na kuyataja kutokuwa na msingi.Waz . . .
Dereva wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usalili T 958 DRK linalofanya safari zake kutoka jiji la Arusha kuelekea Dar es salaam Ibrahim Athumani amekamatwa na Polisi na kuwekwa mahabusu mpak . . .