Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, nchi hiyo imetoa msimamo wa . . .
Bunge la Libeŕia kwa kauli moja limepitisha mswada unaowataka akina mama kunyonyesha watoto wao kwa angalau miezi sita.Mwakilishi wa Wilaya ya Rivercess Country #2 Byron W. Zahwea mnamo 2021 alip . . .
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameshauri kujengwa kituo cha Polisi jirani na Daraja la Tanzanite ili kuimarisha ulinzi wa kulinda madhari ya mradi huo uliojengwa kwa fedha nyingi.Hayo ame . . .
“Nataka kumrudisha Mrema kuwa kijana.” Hayo ni maneno ya mke wa mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema anayejulikana kwa jina la Doreen Kimbi, wakati wakiwa kanisan . . .
Huenda Kenya ikabanwa na madeni baada ya kushindwa kulipa kwa wakati mkopo wa KSh 18 bilioni uliotumika kujenga Barabara ya Southern Bypass na hivyo kulimbikiziwa KSh 3.6 bilioni za riba iliyochelewes . . .
Washington,Wanadiplomasia na viongozi mbalimbali duniani kote wanaendelea kutuma risala za rambi rambi kwa familia ya Madeleine Albright, mwanamke wa kwanza waziri wa mambo ya nje wa Marekani na m . . .
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana . . .
Chanjo ya Moderna ya COVID-19 inafanya kazi kwa watoto wachanga, wanaokua, na watoto wa chekechea, kampuni hiyo ilitangaza Jumatano maendeleo ambayo yanaweza kufungua njia kwa watoto wadogo kupa . . .
Wakati kirusi kipya cha Uviko 19 kikibisha hodi katika mataifa kadhaa yakiwemo ya Afrika, kirusi hicho bado hakijafika Tanzania.Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo a . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za pole kwa wananchi waliopatwa na maafa kufuatia upepo mkali uliotokea katika vijiji vya Kendwa na Nung . . .
Mahakama ya wilaya ya Babati mkoani manyara imemuhukumu mtu mmoja aliefahamika kwa jina Gisgusta Ginanai mwenya umri wa miaka 35 mkazi wa Serengeti mkoani mara kifungo cha miaka 19 kwa kosa la wizi .A . . .
Wizara ya mambo ya nje ya Saudi Arabia imesema inakaribisha "kauli chanya" iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Lebanon, katika ishara ya kurudisha uhusiano kati ya Beirut na mataifa ya ghuba ya kiarabu. . . .
Mwanamfalme wa Uingereza William na mkewe Kate wamewasili Jamaica kama sehemu ya ziara yao eneo la Carribean, saa chache baada ya wanaharakati kuandamana wakidai fidia kutokana na dhulma enzi za u . . .
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mapendekezo kuwa hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake Ukraine. Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Ra . . .
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi za Kiislamu wameanza mkutano wao leo mjini Islamabad nchini Pakistan.Viongozi wa nchi hizo chini ya muungano wa OIC wanakutana wakiwa na ajenda inayolenga kuidh . . .
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU wakiwa katika mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika kituo Cha kimataifa Cha Mikutan . . .
Johnson ole Kiyaipi alizikwa kwa heshima kamili ya kijeshi nyumbani kwake Kenya baada ya kuuawa na bomu lililotegwa kando ya barabara nchini Somalia, ingawa jeshi wala serikali haijakiri hadhara . . .
Ukraine ilikataa mapendekezo ya Russia kuusalimisha mji uliozingirwa wa Mariupol siku ya Jumatatu huku vikosi vya Russia vikiendeleza mashambulizi zaidi katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv. Naibu . . .
Mwanadiplomasia wa juu wa Umoja wa Ulaya ameamuru kusitishwa kwa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi nchini Mali. Mkuu wa sera za mambo ya nje wa Umoja wa ulaya Josep Borell anataka kuhakikishiwa d . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewatolea mwito raia wa nchi hiyo kuendelea na mapambano dhidi ya wanajeshi wa Urusi katikati ya ongezeko la mashambulizi dhidi ya raia. Rais wa Ukraine Volodym . . .
Uganda imezipiku Kenya na Tanzanzia katika tathmini ya mataifa yenye furaha Zaidi dunini .Kenya imeshikilia nafasi ya 119 baada ya kushuka kutoka nafasi ya 86 mwaka jana huku uganda ikipiga hatuamb . . .
Faru Rajabu mtoto wa aliyekuwa Faru maarufu Tanzania Faru John, amefariki dunia jumapili usiku katika hifadhi ya taifa ya serengeti akiwa na miaka 43. Shirika la hifadhi za taifa Tanzania TAN . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameagiza miradi yote ya Wizara ya Afya chini ya Mfuko wa fedha wa kimataifa (IMF) iwe imekamilika kabla ya 30 Juni, 2022. Prof. Makubi ameyas . . .
Jumla ya mashine 24 za michezo za bahati nasibu zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 36 zimevunjwa na Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu Mkoani Kigoma baada ya msako ulifanywa na Bodi hiyo ikishir . . .
Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe amekumbusha machungu ya utawala wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya huku akidai kuwa, baadhi ya ofisi za umma nchini zinatumika kunyanyasa wanan . . .
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umeafiki kwamba unyanyasaji uliofanywa dhidi ya jamii ya walio wachache ya Rohingya na jeshi la Myanmar ni mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wa . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA, Hamza Johari amesema ndege aina ya Embraer 190 5H-FJH iliyozuiwa nchini Tanzania na waliokuwa wafanyakazi wake haiwezi kutumika kulipa madeni wa . . .
Ujerumani imeondosha mkururo wa mwanzo wa vizuizi vya kukabiliana na vurusi vya corona kitaifa, hatua ambayo imezusha wasiwasi wa kwa taifa hilo linaweza kuendelea kuibuka tena kwa ongezeko la vis . . .
Shambulio la Urusi katika kituo cha mafunzo cha karibu na mji wa kati wa Ukraine wa Schytomyr ladaiwa kuwauwa wanajeshi 100 wa Ukraine na wengine wa kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa habari za Urusi a . . .