logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Gari la umma lalengwa katika shambulio la bomu kaskazini mwa Kenya

Gari la uchukuzi wa umma limekumbwa na shambulizi la bomu kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Somalia.Waandishi wa habari wa eneo hilo wanasema takriban watu tisa wamefariki na wengine kadhaa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Polisi Watoa Ufafanuzi Tukio La Kujinyoga Askari huko Mtwara

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Masauni Aitaka UNHCR Kufuata Sheria, Mwakilishi Mkazi Mpya Ajitambulisha Kwa Waziri

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Shirikika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini kufanya kazi kwa kuzingatia sera, sheria na vipaumbele vya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Local chanel ambazo ni Clouds Tv, ITV, Chanel Ten, Star Tv na zingine zarudishwa DStv rasmi

Waziri Nape ameyasema hayo leo januari 31 alipotembelea ofisi za kampuni ya Multichoice Tanzania DStv ikiwa ni sehemu ya ziara zake kwa wadau wa Wizara anayoingoza.Ameongeza kuwa Serikali imefanya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2022

Bodi Ya Utalii Tanzania –TTB Yapokea Maandamano Ya Vijana Wa Ccm Ya Kuhamasisha Utalii Wa Ndani

Bodi ya utalii Tanzania (TTB)  imeapokea maandamano ya Wanachama wa Umoja wa Vijana –UVCCM Tanzania Kata ya Saranga iliyopo katika Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Museveni apingana na askofu kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shule

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga uamuzi wa Askofu wa kanisa la Uganda la kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni baada ya shule kufunguliwa mwezi huu nchini UgandaHii ni kutokana na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

PAKA AKUTANA NA MMILIKI WAKE BAADA YA MIAKA 11

Paka huyu anaitwa Fergus aliyetoweka nyumbani zaidi ya miaka 11 iliyopita kaskazini-mashariki mwa Scotland, ameunganishwa tena na wamiliki wake.Alikutwa umbali wa maili 80 katika mji wa Aberde . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Denmark kuondoa vikosi vyake Mali

Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Bashungwa awaagiza ma-RC, atoa siku 14

 Wakuu wa mikoa nchini wamepewa siku 14 kupeleka taarifa za halmashauri zao ambazo zimeshindwa kufikia malengo katika makusanyo ya mapato. Agizo hilo limetolewa leo Ijumaa Januari 28, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Tanzania Itaendelea Kushiriki Kikamilifu Kutekeleza Mkataba Wa AfCFTA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA, Sekta Binafsi na W . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Radi yaua mwanafunzi mmoja, yajeruhi 16

Katavi. Mwanafunzi mmoja amefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya kupigwa radi katika shule ya msingi ya Sokoine iliyopo kata ya Katumba Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi.Akizungumza leo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Wawili wafa, nane wakijeruhiwa ajali ya Kimara

 Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyosababishwa na lori lililowafuata abiria katika kituo cha daladala Kimara Suka jijini Dar es Salaam.Akizun . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Karibu watu 80 wauawa katika Dhoruba Ana Kusini mwa Afrika

Idadi ya watu waliokufa kutokana na dhoruba kali iliyopiga kwenye nchi tatu za kusini mwa Afrika imeongezeka. Hadi kufikia leo jumla ya watu 86 wameorodheshwa kuwa wamekufa kutokana na dhoruba h . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Kiongozi wa mapinduzi Burkina Faso aahidi usalama na utulivu

Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso ameahidi kurejesha usalama, utulivu na umoja katika nchi hiyo iliyomo katika mgogoro. Hata hivyo ameonya kuwa usaliti hautavumiliwa na utawala . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Urusi haitaki vita na Ukraine

Waziri wa Mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amesema leo kuwa Moscow haitaki vita na Ukraine, huku akionyesha matumaini kuhusu mapendekezo ya usalama yaliyowasilishwa na Marekani. Lavrov ame . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Wahamiaji sita wafa maji na makumi wapotea Tunisia

Takriban wahamiaji sita wamekufa maji na wengine 30 hawajulikani walipo baada ya mashua waliyokuwa wamepanda kupinduka katika pwani ya Tunisia. Watu 34 waliokolewa na wanamaji wa Tunisia na meli z . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Ubalozi wa Ufaransa waonya kuhusu tishio la shambulizi la kigaidi Kenya

Ubalozi wa Ufaransa nchini Kenya umeonya kuhusu tishio la shambulizi la kigaidi dhidi ya raia wa Magharibi wanaoishi nchini Kenya. Katika tahadhari siku ya Alhamisi, ubalozi wa Ufaransa uliwaonya . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Rwanda kufungua mpaka wa Gatuna kati yake na Uganda

Mpaka baina ya Rwanda na Uganda ulifungwa mwaka 2019 kufuatia mzozo huo, na kukwamisha shuguli za kijamii na kibiashara baina ya mataifa hayo jirani.Taarifa hiyo imetolewa siku kadhaa baada ya ziara y . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

NAPE ATOA MAELEKEZO KWA KATIBU MKUU

Waziri wa habari,mwasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt Jimmy Anazi kuhakikisha mameneja wote wa shirika la posta Tanzania wanashirikishwa katika utek . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

NAPE ATOA MAELEKEZO KWA KATIBU MKUU

Waziri wa habari,mwasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt Jimmy Anazi kuhakikisha mameneja wote wa shirika la posta Tanzania wanashirikishwa katika utek . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Siri 13 za St.Francis girls kufaulisha na kushika namba 2 Tanzania nzima

Kitendo cha Shule ya Wasichana ya St. Francis Mbeya kuendelea kuvunja rekodi ya kufaulisha na kushika namba 2 Tanzania nzima kwa matokeo ya form iv 2021 kilinifanya niendeshe gari kutoka Dar mpaka Mbe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2022

Roketi ya Elon Musk Kugongana na Mwezi

Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika a . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2022

Serikali ya Tanzania yazindua mradi wa akili bandia

 Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini.Hayo yamesemwa leo Jumatatu Januari 24, 2022 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2022

Waandamana kuliunga mkono jeshi lililofanya mapinduzi Burkina Faso

Wafuasi wa jeshi nchini Burkina Faso wameandamana katika mji mkuu jana Jumanne, siku moja baada ya maafisa jeshi kumkamata rais Roch Kabore na kuivunja serikali ya nchi hiyo.Mamia kadhaa ya watu w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2022

Asilimia 95 ya walioumwa Uviko-19 hawakuchanjwa

Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawachanja. . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 26, 2022

Marekani inaweza kumuwekea vikwazo Putin iwapo Urusi itaivamia Ukraine

Rais wa Marekani Joe Biden anasema ataangalia uwezekano wa vikwazo binafsi dhidi ya Vladimir Putin iwapo Urusi itaivamia Ukraine. Bw Biden alisema kunaweza kuwa na "madhara makubwa" kwa dunia . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • January 26, 2022

Tuzo ya BBC ya Komla Dumor ya 2022 yazinduliwa

BBC inamtafuta nyota anayechipukia katika uandishi wa habari barani Afrika kwa ajili ya Tuzo ya BBC World News Komla Dumor, ambayo sasa ni mwaka wake wa saba.Waandishi wa habari kutoka kote ba . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 25, 2022

Umati wa watu wenye furaha washerehekea mapinduzi Burkina Faso

Zaidi ya watu 1,000 wamekusanyika katika uwanja mkuu katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, kusherehekea mapinduzi ya Jumatatu, huku wengine wakichoma bendera ya Ufaransa na wengine wakic . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 25, 2022

Agizo la jaji laishinikiza meli ya watalii kubadili mkondo ghafla

Abiria waliokuwa wakiabiri meli ya abiria walishangazwa baada ya meli hiyo kubadili mkondo wake kwa ghafla wikendi hiina kutia nanga katika eneo la Bahamas ili kukwepa ‘kutekwa nyara nchini Marek . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • January 25, 2022

Museveni akanusha kuunga mkono uchaguzi wa Kenya - ripoti

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hataegemea upande wowote katika uchaguzi wa urais wa Kenya utakaofanyika Agosti 9, zinasema ripoti katika gazeti la New Vision linalomilikiwa na serikali.A . . .

Kurasa 103 ya 107

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Trump akiri kutokubaliana na Putin

    • 12 masaa yaliopita
  • Waliompiga Enock wakamatwa

    • 12 masaa yaliopita
  • Nico Williams asaini mkataba Athletic mpaka 2035

    • 12 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode