SERIKALI imewahakikishia Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inayachukulia kwa uzito mkubwa, maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafany . . .
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakati . . .
Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema hana mpango wa kuivamia Poland, Latvia ama eneo jingine lolote na wala hana nia ya kuvipanua vita vyake nchini Ukraine.Putin amesema hayo kwenye mahojiano na mtang . . .
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amemfukuza kazi Mkuu wa Majeshi, Valerii Zaluzhnyi, na kumteua Kanali Jenerali Oleksander Syrskyi, aliyekuwa kamanda wa vikosi vya ardhini.Waziri wa Ulinzi wa Ukrain . . .
SERIKALI imemuhakikishia mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu kuwa wataenda kuweka vituo vya kukusanyia maziwa na vifaa vya kutunzia maziwa katika Mkoa wa Singida ili yasiharibike na hivyo kuvut . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kukamatwa kwa watu hao, ambapo amesema miongoni mwao yupo kinara ambaye ni kiongozi wa mtandao wa ‘vishoka’ mkoani humo.“Tumesha . . .
Wagombea 13 wa kiti cha urais wa upande wa upinzani nchini Senegal wameungana na kupinga hatua ya bunge kuahirisha uchaguzi hadi Desemba 15 mwaka huu, hatua ambayo wamesema ni mapinduzi ya kikat . . .
Umoja wa Mataifa umesema Mkuu wa jeshi nchini Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na mpinzani wake, aliyeongoza kundi la RSF Mohamed Hamdan Daglo, wamekubali kukutana kwa ajili ya mazungumzo kuhusu . . .
Benki kuu ya Nigeria wiki hii imesema kwamba imegundua fedha za kigeni zenye thamani ya dola bilioni 2.4 ambazo zinaitishwa kwa njia ya udanganyifu, kufuatia uchunguzi wa dola bilioni 7 zilizokuwa zik . . .
Jeshi la Polisi la Jimbo la Kwara limethibitisha kuachiliwa kwa Olori Iyabo Aremu, mke wa Olukoro wa Koro-Ekiti, marehemu Oba Olusegun Aremu-Cole na mjakazi wake aliyetambulika kama Feranmi, ambao wal . . .
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo chama cha upinzani cha Ensemble pour le République kinachoongozwa na Moise Katumbi aliyemaliza wa pili kwenye uchaguzi wa urais mwaka uliopita, kimeamua kuwa n . . .
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumanne na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus imesema Rais Samia amemtea Dk. Thomas Nestory Bwana kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kili . . .
Wanawake watatu wameuawa nchini Somalia wiki iliyopita kwa kile polisi wanasema inatokana na ugomvi wa nyumbani. Bunge la nchi hiyo limetoa wito ufanyike uchunguzi wa haraka na kuwakamata watuhumiwa w . . .
Marekani imesema inasikitishwa sana na hatua zilizochukuliwa za kuchelewesha uchaguzi wa rais wa Februari 25 nchini Senegal, ambazo, inasema zinakwenda kinyume na utamaduni wa kidemokrasia wa nc . . .
Idara ya kitaifa ya Ujasusi na Usalama ya Somalia, NISA, imesema AlhamIsi kwamba kwa mara ya kwanza imeweza kufunga kabisa mitandao mipya 14 inayosemekana kutumiwa na kundi la kigaidi la al Shabab.Kup . . .
Maafisa wa uchaguzi wa Afrika Kusini wametembelea jela kote nchini , kama sehemu ya kuandikisha takriban wafungwa laki moja, ili washiriki kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.Katiba ya Afrika Kusini in . . .
Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Mwinyi amewataka Mawaziri wanaojiuzulu wawe wakweli badala ya kutoka na kwenda kuwaaminisha Watu kinyume chake na kutolea mfano kwamba kama Waziri anamiliki Baa alafu pom . . .
Hatimaye kilio cha muda mrefu cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususani eneo la mlima Kitonga kimeanza kufanyiwa kazi kwa kupanua barabara hiyo kuifanya ya njia . . .
Kiongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso amesema nchi ya Urusi huenda ikawatuma wanajeshi wake nchini mwake kusaidia katika vita dhidi ya makundi ya wanajihadi iwapo hatua hiyo itastahili kuchukuliwa.A . . .
Baadhi ya Wananchi walioathiriwa na mafuriko ya maporomoko ya mawe na matope huko Katesh Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara, wameonesha hisia zao za kutoafiki kuishi katika makazi mapya ya eneo lililot . . .
Marekani itaongeza vikwazo zaidi kwa uongozi wa kijeshi wa Myanmar, miaka mitatu baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Februari 1, 2021, wakati ikijumuisha watu wanne pamoja na makampuni mawili yanayohusis . . .
CPA AMOS MAKALA AELEZEA MIRADI YOTE ILIPOFIKIA NDANI YA MKOA WA MWANZA MBELE YA RAIS SAMIA . . .
Aliyekua wa waziri wa Ardhi Uso kwa Uso na Rais Samia Suluhu Angelina Mambula sikia alichomwambia.. . . .
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt Festo Dugange amesema Serikali za Mitaa zimeweka utaratibu wa kusajili makundi maalum ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ambapo ameelez . . .
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazokabili wanahabari wanaoripoti kuhusu ghasia za Ethiopia ni pamoja na kukamatwa, takwimu ziliotolewa na shirika la Kulinda Haki za Wanahabari la CPJ zimesema .Mwaka . . .
Biashara pamoja na maduka kwenye miji kadhaa katika eneo lenye Wakurdi magharibi mwa Iran zilifungwa Jumanne kutokana na maandamano yalioitishwa ili kupinga kunyongwa siku moja awali, kwa wakurdi wann . . .
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amesimikwa na Machifu wa Shinyanga kuwa “Nsumba Ntale” Kijana Mkuu ambaye atakuwa msaidizi wa Chifu Hangaya Rais . . .
Mataifa ya Afrika Magharibi ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejiondoa kwenye shirika la kiuchumi la kieneo la ECOWAS, viongozi wao wa kijeshi wamesema Jumapili.Wote wamelaumu ECOWAS kwa hatua kandami . . .
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema Jumapili kuwa Ukraine inahitaji kuendelea kupokea msaada unaohitajika ili kuondoa Russia kwenye ardhi yake, la sivyo Marekani, Ulaya watakuwa hatarini , iw . . .
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kaskazini ilirusha makombora kadhaa katika Pwani yake ya Mashariki.Hii ikiwa ni mara ya pili kwa Pyongyang kufanya majaribio ya aina hiyo ya silaha . . .