MHE.KIKWETE"MIPANGO YA TAASISI ITUMIKE KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO YA URUDUFU WA MIFUMO YA TEHAMA"

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).


Washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii