Wanajeshi wa Urusi wameendeleza harakati zao za kijeshi kuelekea mji mkuu wa Ukraine, Kyiv wakati pande zote zikitarajiwa kukutana leo katika mazungumzo ya ana kwa ana. Siku moja baada ya kutanua . . .
liyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo.Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii."Nimekutwa . . .
Watumiaji wa mtandao wa Instagram nchini Urusi wamepewa taarifa kuwa huduma hiyo imesitishwa kuanzia saa sita usiku Jumapili ya March 14 2022 baada ya Mmiliki wake Meta Platforms kutangaza wiki il . . .
MWANDISHI wa habari wa Shirika la Habari la New York Times la Marekani, Brent Renaud amepigwa risasi na kuuawa akiwa katika majukumu yake ya kuripoti vita vinavyoendelea nchini Ukraine katika Mji . . .
Iran imeamua kusitisha kwa muda mazungumzo yake ya siri yaliyofanywa na Baghdad yenye lengo la kupunguza mivutano ya miaka mingi na hasimu wake wa kikanda Saudi Arabia, chombo cha habari cha Ira . . .
Polisi wa Zimbabwe mwishoni mwa wiki walikizuia chama kikuu cha upinzani nchini humo kufanya mikutano kabla ya uchaguzi wa machi 26, kujaza viti ambavyo vimeachwa wazi tangu uachaguzi mkuu wa mw . . .
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana leo Jumapili Machi 13, 2022 umeteketeza kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo eneo la Mikocheni jijini Dar . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amekemea vikali matukio ya mauaji ya wazee kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya Ushirikina ambapo Takwimu zi . . .
Idara ya Usimamizi wa Majanga nchini Msumbiji imesema jana kuwa watu wasiopungua 10 wameuawa na kimbunga Gombe kilichotua kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo. Idara hiyo imesema pia kuwa zaidi ya ny . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mwana Mfalme, Mtukufu Faisal bin . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa nchi hiyo imeombwa kuwa msuluhishi wa mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine. Rais Ramaphosa hajaweka wazi ni nani aliyewasilisha omb . . .
Mashambulizi ya Urusi leo hii yanaelezwa kuyalenga maeneo ya raia huko katika mji wa katikati wa Ukraine Dnipro, huku vikosi vya wanajeshi hao wakiujongolea mji mkuu, Kyiv ambapo maafisa wamesema . . .
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichwale amesema kuwa wanawake wanaonekana kuwa na hatari kubwa ya kupata matatizo Sugu ya Figo ukilinganisha na wanaume. Dkt. Sichwale amebainisha hay . . .
ukiambiwa kuna mzee nchini Uturuki amegonga miaka 339 duniani utaamini? Basi ishu iko hivyo; ila ukiamini utaungana na wenzako wasioamini na usipoamini utakuwa sehemu ya wasiaomini kwani ndivyo il . . .
Waandamanaji wawili waliuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano nchini Sudan siku ya Alhamis huku maafisa wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wakionya kuwa nchi hiyo iko hatarini. Mamia . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameimarisha uhusiano na Colombia kwa kuiteuwa nchi hiyo ya Amerika Kusini kuwa mshirika mkuu wa Marekani asie mwanachama wa NATO, na hivyo kufungua milango kwa ushirikia . . .
Wizara ya afya ya Tanzania imezindua zoezi la utoaji chanjo ya homa ya manjano baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuripotiwa katika nchi jirani ya Kenya.Waziri Ummy Mwalimu amewaagiza watendaji wa hos . . .
Naibu wa kwanza wa balozi na mwakilishi wa kudumu wa Urusi Dmitry Polyanskiy amekanusha taarifa kuwa Urusi ilihusika kwenye shambulizi la kulipua hospitali ya watoto, katika mji wa Mariupol nchini . . .
Katibu wa Baraza Kuu la Kitaifa la Usalama la Iran, Ali Shamkhani, amesema Marekani haina nia ya kufikia makubaliano ya kuufufua mkataba wa nyuklia wa 2015 na Iran. Shamkhani amesema kwamba Mareka . . .
Maambukizi ya virusi vya corona nchini Ujerumani yamepindukia watu laki mbili na elfu hamsini (250,000) kwa siku moja kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa janga hilo. Haya ni kwa mujibu wa taasisi . . .
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Libya Stephanie Williams anajaribu kutafuta makubaliano mwezi huu kuhusu sheria za uchaguzi na mipango ya kikatiba nchini Libya, huku . . .
Serikali ya Ukraine imesema itaanzisha hifadhi kubwa ya chakula cha kutosha kuwalisha watu na vikosi vya jeshi wakati huu wa uvamizi wa Urusi.Chombo cha habari cha serikali kimemnukuu Waziri Mkuu . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetolea ufafanuzi taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii kuhusu Joseph Haule Joseph Haule maarufu Prof. Jay. “Kuna video inayosambazwa na Mtandao wa . . .
Serikali sasa inawazia kulegeza masharti ya afya yaliyowekwa kufuatia mlipuko wa janga la COVID-19 miaka miwili iliyopita. Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alidokeza kwamba ataondoa sheria ya lazima y . . .
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ametoa wito hii leo wa kupata suluhu ya dharura kuhusu mvutano ulioibuka ya ombi la Poland la kuipelekea Ukraine ndege za kivita wazo ambalo Ujerumani, Canada na . . .
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametia saini sheria ya kuongeza umri wa Msichana kutoa idhini ya kufanya mapenzi kutoka miaka 12 hadi miaka 16 ikiwa ni juhudi za kuwalinda Watoto dhidi ya ubakaj . . .
KUFUATIA shambulio la hospitali ya wajawazito na watoto katika Mji wa Mauripol nchini Ukraine kutoka kwa majeshi ya Urusi, mawaziri wa mambo ya nje wa pande zote mbili leo Alhamisi, Machi 10 . . .
Wizara ya Kilimo imegawa jumla ya lita laki moja za dawa ya kudhibiti viwavijeshi kwa wakulima wa maeneo yote yaliyoripotiwa kuwa na mlipuko wa viwavijeshi nchini. Akizungumza na wananchi w . . .
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Amesema mwaka huu Ataongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo. Mtendaji . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali ya Awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kipaumbele kwa sekta ya elimu ambapo imeweka msukumo katika kuongeza b . . .