logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • HABARI ZA MASTAA
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Kiuchumi Na Biashara

  • Pata Habari Zote Za Biashara Na Uchumi
news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • November 14, 2023

Malawi kuzuia baishara ya fedha za kigeni ili kunusuru uchumi

Malawi itaanza kuzuia biashara ya fedha za kigeni na kufanya msako dhidi ya wafanyabiashara magendo, baada ya kushuka thamani ya sarafu yake, wizara ya fedha imesema Jumatatu.Kwa mujibu wa shirika la . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • October 30, 2023

Magenge ya kimataifa yadaiwa kusafirisha fedha haramu kupitia michezo ya kidijitali

Maafisa wa Umoja wa Mataifa wameiambia VOA kwamba huenda magenge ya kihalifu ya  kimataifa yanatumia sekta inayokuwa ya michezo ya Kamari kwa njia ya dijitali Asia Kusini Mashariki, kama mfumo wa . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2023

Mkutabo wa mwaka wa IMF na Benki ya Dunia wafanyika Afrika

Wajumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, na Benki ya Dunia kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 50 wanafanya mkutano wao wa kila mwaka katika ardhi ya Afrika huko nchini nchini Morocco.Mk . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • October 4, 2023

Bei za Mafuta zikizidi kupaa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji – EWURA, inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia hii leo Jumatano, Oktoba 4, 2023, ambapo bei za . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • September 28, 2023

Uganda yatafuta ufadhili wa China kwenye ujenzi wa bomba.

Serikali ya Uganda ipo katika hatua za mwisho za majadiliano na wafadhili kutoka China kuisaidia kufadhili mradi wenye utata wa bomba la mafuta ghafi.Hayo yamesemwa jana na Irene Bateebe katibu katika . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • September 18, 2023

Ridhiwan Kikwete "Jiepusheni na mikopo kausha Damu"

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la “Kausha D . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • August 2, 2023

Mafuta yapanda bei, dola yatajwa kuwa chanzo

EWURA imesema kwamba kupanda kwa bei ya mafuta mwezi Agosti yanatokana na changamoto za upatikanaji wa dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola, on . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 18, 2023

Bei Ya Kitunguu Yapanda Kwa Asilimia 650

Baada ya ukame kukumba maeneo mengi ya nchi, wakulima wengi wa kitunguu waliokuwa wameenda hasara kubwa katika msimu wa Oktoba hadi Desemba waliogopa kupanda.“Lakini wale wachache waliothubutu kupan . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • July 16, 2023

Petroli yaadimika Kiteto, lita yauzwa sh 6000

Mafuta ya petroli wilayani Kiteto mkoani manyara ambayo awali yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi 2,930 kwa lita sasa yanauzwa shilingi 6,000 kwa lita baada ya kuadimika.Hali hii imeanza kuathiri wananchi . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • June 20, 2023

Marufuku watanzania kulipa kwa fedha za kigeni

Benki Kuu ya Tanzania imesema shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali Taarifa . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

BENKI KUU YA TANZANIA YATOA MAFUNZO YA KUTAMBUA NOTI HALALI KWA WATU WA MAKUNDI MAALUMU

Katibu Mtendaji wa Shirika la maendeleo ya jamii na viziwi (DCPO),Jafari Shabani akizungumza kuhusiana na mafunzo hayo.Benki kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo ya kutambua noti halali kwa watu wa ma . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

IFM "Uchumi wa Tanzania wapaa miaka miwili ya Rais Samia"

Pato la Taifa lafikia Sh. trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh. trilioni 163 ya mwaka 2021, Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya na ni wa 6 kwa ukubwa kwa nchi zote za Kus . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 22, 2023

GGML,HALMASHAURI ZA GEITA ZASAINI MAKUBALIANO YA CSR YA THAMANI YA SH BILIONI 19

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita, Wilaya ya Geita pamoja na Halmashauri za jirani za wilaya za Chato, Bukombe . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

BENKI KUU YA TANZANIA YAONGEZA MUDA WA USIMAMIZI WA YETU MICROFINANCE BANK PLC

. . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUMILIKI MELI

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akizungumza na Wadau wa usafiri kutoka Taasisi za Kikanda za Usafirishaji Majini (ISCOS), Jijini Dar es.Nchi za Afrika zimetakiwa kuwekeza katika umil . . .

Kurasa 4 ya 10

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • “THE GUY WITH ENERGY” ALBAMU YENYE SAFARI YA MUZIKI WA DK BALAFU

    • 6 masaa yaliopita
  • Jeshi la Israeli lawauwa watu 10 kusini mwa Syria

    • 7 masaa yaliopita
  • Baba na Mama Waua Mtato Wao

    • 7 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode