Serikali imesema kuwa zaidi ya tani laki tatu za sukari zinatarajiwa kuingizwa nchini mwaka huu kwa lengo la kukabiliana na upungufu wa sukari.Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Kili . . .
Serikali imetoa wito kwa watoa huduma za kifedha nchini kufuata sheria na taratibu za huduma za fedha ikiwemo kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuhakikisha huduma hizo zinatolewa kwa uf . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 19, 2024 akiwa katika Mkutano wa hadhara Wilaya Temeke Jimbo la Mbagala ametoa ufafanuzi kwa wananchi juu ya uhaba wa Sukari hapa nchini . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaiangalia sekta binafsi kwa mtazamo chanya wa kuwa mdau muhimu wa uchumi na maendeleo.Rais Dk.Mwinyi . . .
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Gypson Godson amepiga marufuku watoza ushuru ndani ya Manispaa hiyo kufunga maduka ya wafanyabiashara na badala yake wajikite kuwapa elimu, ili wawez . . .
Baada ya kulegeza kasi ya ukuaji wa uchumi duniani mwaka 2023, biashara ya kimataifa inakadiriwa kuongezeka hadi asilimia 2.3 mwaka 2024, na kuakisi ukuaji wa makadirio ya pato la kimataifa.Hii inaony . . .
Kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato kwa Viongozi wa Mnada wa Pugu ni moja ya sababu iliyompelekea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega kumuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof . . .
Kenya na Tanzania kwa muda mrefu wamekuwa vyanzo vikuu vya mahindi kwa Malawi wakati wa vipindi vya uhaba wa chakula. Wizara ya Kilimo ya Malawi ilitangaza marufuku ya uagizaji bidhaa kutoka nje . . .
Kampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65 ya Kampuni ya Saruji Mbeya (Mbeya Cement), kwa Kampuni ya Amsons Grou . . .
Malawi itaanza kuzuia biashara ya fedha za kigeni na kufanya msako dhidi ya wafanyabiashara magendo, baada ya kushuka thamani ya sarafu yake, wizara ya fedha imesema Jumatatu.Kwa mujibu wa shirika la . . .
Maafisa wa Umoja wa Mataifa wameiambia VOA kwamba huenda magenge ya kihalifu ya kimataifa yanatumia sekta inayokuwa ya michezo ya Kamari kwa njia ya dijitali Asia Kusini Mashariki, kama mfumo wa . . .
Wajumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, na Benki ya Dunia kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 50 wanafanya mkutano wao wa kila mwaka katika ardhi ya Afrika huko nchini nchini Morocco.Mk . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji – EWURA, inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia hii leo Jumatano, Oktoba 4, 2023, ambapo bei za . . .
Serikali ya Uganda ipo katika hatua za mwisho za majadiliano na wafadhili kutoka China kuisaidia kufadhili mradi wenye utata wa bomba la mafuta ghafi.Hayo yamesemwa jana na Irene Bateebe katibu katika . . .
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la “Kausha D . . .