Borussia Dortmund wanatazamia kuweka pamoja mpango wa kujaribu kumshawishi mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kusalia nao, huku mustakabali wa mchezaji huyo mwen . . .
ALIYEKUWA kipa wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Mshery sasa rasmi ni mali ya Yanga baada ya mabosi wa Jangwani kutumia jeuri ya pesa na umafia kumpata jana.Mshery alisaini mka . . .
KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Ajib alikuwa akicheza ndani ya kiko . . .
Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo mwen . . .
Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu ya Simba kama kocha msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Hitimana jana Disemba 28 amewaaga wachezaji wa timu . . .
HATMA ya kiungo mshambuliaji, Ousmane Sakho na beki Pascal Wawa na wenzao watatu itajulikana leo, ya kuendelea au kubakia kukipiga Msimbazi.Wachezaji hao ndiyo wanaotajwa . . .
Kutoka pale Uwanja wa Mkapa, Wenyewe wanajiita ni Wananchi, Yanga SC, hii leo imeshuka Dimbani kuivaa Biashara United, huku Biashara United wakitangulia kutikisa nyavu za . . .
Baada ya kula sikukuu ya Krisimasi huku wakiwa na shangwe za mataji wa Bao 4 - 0 dhidi ya KMC katika mechi yao iliyopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Simba SC wameleta & . . .
MABOSI wa Yanga wako katika vikao vya siri wakipiga hesabu za usajili kupitia dirisha dogo lililofungwa Desemba 16, lakini ripoti ya kocha wao Nesreddine Nabi imewekwa ba . . .
Unaambiwa mabosi wa Simba na Polisi Tanzania wapo hatua nzuri ya kubadilishana makipa, Metacha Mnata akiingia Msimbazi, huku Beno Kakolanya akitoka kwa Wekundu hao kwenda . . .
Mchezaji anayelengwa na Arsenal, Chelsea na Manchester City Dusan Vlahovic huenda akaondoka katika klabu yake katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari kwasababu mshamb . . .
Wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya mwaka mmoja.91 Messi 2012 (Barcelona)69 Ronaldo 2013 (Real Madrid)69 Lewandowski 2021 (Bayern)63 Ronaldo 2012 (Real Madrid)61 R . . .
Uongozi wa Yanga umemrejesha aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Wanawake ya Yanga Princes, Edna Lema ili aendelee kukinoa kikosi hicho.Edna alijiuzuru nafasi hiyo mwishoni m . . .
Mshambuliaji wa Barcelona na nyota wa zamani wa Manchester City, Sergio Agüero (33) ametangaza rasmi kustaafu Soka kutoka na maradhi ya moyo anayokabiliana nayo.Agüero . . .
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mh. Hassan Masalah amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika ufunguzi wa 14 Michuano ya Watu wenye Ulemavu wa Akili na Usonji Kitaifa inayofa . . .
Sergio Aguero anatarajiwa kutangaza kustaafu soka Rasmi Jumatano hii ikiwa ni miezi chini ya 6 tangu ajiunge na Barcelona akitokea Manchester City.Mechi ya mwisho ya Ague . . .
Droo ya ligi ya mabingwa hatua ya 16 Bora Baada ya Droo kurudiwa Baada ya matatizo ya Ufundi.Mechi za mkondo wa kwanza zitafanyika mwezi wa pili Mwakani. . . .
UEFA imesema droo hiyo itachezeshwa upya baada ya matatizo ya kiufundi kutokea katika droo iliyochezeshwa awaliMatatizo hayo yalipelekea Man. Utd kupangwa dhidi ya Villar . . .
Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Real Madrid, Samuel Eto'o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT).Nahodha huyo wa zamani w . . .
Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Klabu ya Simba kabla ya mchezo wa Simba dhidi ya Yanga uliofa . . .
Klabu za Simba na Yanga zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi ya NBCYanga inaendelea kukaa kileleni mwa Ligi ikifikisha alama 20 na Sim . . .
Dakika 45 za kipindi Cha kwanza za mchezo wa watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga zimemalizika Uwanja wa Mkapa kwa timu hizo kutokufungana (0-0).Bado timu zote mbili zinac . . .
KATIKA mechi ya dabi leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, watamkosa kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga kutokana na majeraha ya goti ambayo bado yanamsumbua.Ofisa . . .
UONGOZI wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango len . . .
Kesho Jumamosi nchi itasimama kwa muda kupisha mechi ya watani wa Jadi Simba wakiwakaribisha Yanga Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa jioni majira ya saa 11:00.Kuelekea kwenye mch . . .
Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wingi huku ikiwa imebaki takriban . . .
Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua ya 16 Bora ligi ya mabingwa na . . .
Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VINARA wa makundi na watakutana . . .
Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Maofisa habari wa vilabu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya soka ya Walemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu kuiwakilisha nchi kwenye kombe . . .
NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa matokeo haya yamepelekea viongoz . . .
ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo umeendelea kulisuka benchi la . . .
Msimamo wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15. Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kubwa ya kumaliza ndani ya nne bo . . .