KUNAKO TETESI

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 28, alikataa kujitolea kwake kwa Spurs baada yakuulizwa kuhusu mustakabali wake akiwa kwenye majukumu ya Uingereza. (Mirror)

Kiungo wa kati wa Uingereza Declan Rice wangependelea kuhamia Chelsea badala ya Manchester United ikiwa ataondoka West Ham, ambao wameweka bei ya £150m kwa mchezaji huyo wa miaka 23-ili kudhibiti wanaomnyatia. (Evening Standard)

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii