Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amesimikwa na Machifu wa Shinyanga kuwa “Nsumba Ntale” Kijana Mkuu ambaye atakuwa msaidizi wa Chifu Hangaya Rais . . .
Mataifa ya Afrika Magharibi ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejiondoa kwenye shirika la kiuchumi la kieneo la ECOWAS, viongozi wao wa kijeshi wamesema Jumapili.Wote wamelaumu ECOWAS kwa hatua kandami . . .
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema Jumapili kuwa Ukraine inahitaji kuendelea kupokea msaada unaohitajika ili kuondoa Russia kwenye ardhi yake, la sivyo Marekani, Ulaya watakuwa hatarini , iw . . .
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kaskazini ilirusha makombora kadhaa katika Pwani yake ya Mashariki.Hii ikiwa ni mara ya pili kwa Pyongyang kufanya majaribio ya aina hiyo ya silaha . . .
Mahakama moja nchini Urusi imeongeza muda wa kuzuiliwa hadi mwisho wa mwezi Machi kwa mwandishi wa gazeti la Wall Street Journal la Marekani, Evan Gershkovich, aliyekamatwa kwa tuhuma za ujasusi.Baloz . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito wa uchunguzi wa kimataifa kuhusu ajali ya ndege ya jeshi la Urusi iliyotokea Jumatano katika eneo la mpaka wa Belgorod Magharibi mwa Urusi.Katika hotuba . . .
Maelfu ya Waargentina wamefanya maandamano na wengine wengine kufanya mgomo katika hatua kubwa ya kuzipinga sera za kupunguza bajeti za Rais Javier Milei wiki chache tu baada ya kuingia madarakani.Uma . . .
Serikali ya kijeshi nchini Niger imesimamisha kwa muda utoaji wa leseni mpya za uchimbaji wa madini na kuagiza ukaguzi wa sekta hiyo, kwa mujibu wa wizara ya madini nchini humo.Hata hivyo, wizara hiyo . . .
Mahakama moja ya Ghana Jumatano iliwahukumu kifo watu sita, wakiwemo wanajeshi watatu wanaoshutumiwa kuhusika katika njama ya kupindua serikali ya nchi hiyo miaka mitatu iliyopita.Watu hao walikamatwa . . .
Kikosi Maalum cha kuzuia Magendo KMKM leo kimekamilisha na kufunga zoezi la utafutaji wa mwili wa kijana Mahmoud Mwalim aliyejirusha kwenye bahari wakati akiwa katika boti ya Zanzibar 3 iliyokuwa inat . . .
Wanaharakati wamewahimiza wapiga kura kuandika maneno "sitisha mapigano" wakati wa kura za mchujo za kuteua mgombea wa urais kama sehemu ya kupinga jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia mzozo kati ya . . .
Bunge la Uturuki leo Jumanne litaidhinisha Sweden kuingia katika muungano wa NATO Baada ya kucheleweshwa kwa hatua hiyo kwa zaidi ya mwaka mmoja.Uamuzi huo unakuja baada ya tume inayohusika na Mambo y . . .
Gavana wa Florida Ron DeSantis Jumapili alisimamisha kampeni zake za kuwania urais kupitia chama cha Republican na kumuidhinisha rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, siku mbili kabla ya uchaguzi w . . .
Kiongozi wa Misri alisema Jumapili kuwa nchi yake Inashirikiana bega kwa bega na Somalia katika mzozo wake na Ethiopia, isiyo na bandari, ambayo ilifikia makubaliano na Somaliland kuiwezesha kufikia b . . .
Baada ya Wizara ya Afya kuutahadharisha umma juu ya uwepo wa ugonjwa wa macho mekundu (Red Eyes), maambukizi ya maradhi hayo yamezidi kuripotiwa sehemu mbalimbali nchini, huku Mamlaka zikizidi kutoa e . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga Isaya Mugishangwe Menje kuanzia leo January 21,2024 ili kupi . . .
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya vipindi vya mvua kubwa vilivyojitokeza katika baadhi ya maeneo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).Mvua zinaz . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-KKKT, Askofu Dkt. Alex Gehaz Mal . . .
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayotokana na CCM na kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM . . .
Jeshi la Polisi Nchini, kwa kushirikiana Jeshi la Wananchi – JWTZ na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Mkoa wa Tabora, wametembelea Vyuoni na Shuleni, kutoa elimu ya kutambua na . . .
Somalia imekataa kufanya aina yoyote ya mazungumzo na Ethiopia kuhusu mkataba wa Addis Ababa na eneo la Somalia lililojitenga la Somaliland, la kukodisha sehemu ya bandari yake, wakati viongozi taifa . . .
Mwanamke mmoja nchini Marekani ambaye alisaidia kumuua mama yake na kuuweka mwili wake kwenye sanduku wakati wa likizo ya 2014 huko Bali amehukumiwa kifungo cha miaka 26 jela.Heather Mack alipatikana . . .
Wakuu wa nchi za ukanda wa IGAD wanakutana nchini Uganda hivi leo kwenye kikao kisichokuwa cha kawaida, kujadili namna ya kutatua mizozo inayoendelea kwenye nchi za pembe ya Afrika za Sudan, Somalia n . . .
Wizara ya Fedha ya Marekani imesema kwamba afisa wake wa ngazi ya juu wa kimataifa amefanya kikao na waziri wa fedha wa Zambia Jumatano, wakati wakizungumzia hatua zilizochukuliwa na taifa hilo, za ku . . .
DRC inaadhimisha Jumatano hii, Januari 17, kifo cha Waziri Mkuu wa kwanza wa Kongo, Patrice-Emery Lumumba, aliyeuawa miaka 63 iliyopita huko Élisabethville (leo Lubumbashi), huko Katanga.Mmoja wa wab . . .
ZAIDI ya watu 200 wamekufa kwa njaa tangu Julai katika mji wa Edaga Arbi, katika eneo la Tigray lililokumbwa na ukame na vita, mamlaka za mitaa zilisema.Wengine 16 wamefariki katika mji wa karibu wa A . . .
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeondoa zuio walilokuwa wameweka kwa Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kufanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Nairobi kuanzia Januari 22, 2024.Uamu . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaonekana kwenye runinga Jumanne hii, Januari 16, kuelezea mkondo wake, siku chache baada ya kuteuliwa kwa serikali iliyo na wajumbe wengi kutoka mrengo wa kulia na a . . .
Rais wa visiwa vya Comoro Azali Assoumani ameshinda muhula wa nne madarakani baada ya tume ya uchaguzi kutangaza matokeo ya mwisho ya kura iliyofanyika mnamo Jumapili iliyopita.Matokeo yaliyotangazwa . . .
Vyanzo vya ndani pamoja na chombo cha habari cha serikali ya Syria wamesema Jumatatu kwamba Uturuki imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kwenye miundombinu ya umeme na mafuta kwenye eneo la kaskazini . . .