Raila Aitisha Mkutano wa Dharura na Viongozi wa ODM Kufuatia Mvutano

Rais William Ruto amewaonya viongozi dhidi ya siasa za migawanyiko, akisema umoja ndio nguvu ya kweli ya Kenya. Akihutubia waumini wakati wa ibada ya kanisa huko Ntulele, Kaunti ya Narok, Jumapili, Rais Ruto alitoa wito kwa Wakenya kukumbatia umoja, imani, na uwazi, akisisitiza kwamba maadili haya ndiyo msingi wa mustakabali wa Kenya. 

Alielezea ushirikiano wake mpya wa kisiasa na kiongozi wa ODM Raila Odinga na kuishi pamoja nchini kama "umoja wa kimungu." 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii