Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC, imetoa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mdogo wa Udiwani katika kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 20 Machi, 2024 kwa asasi za kira . . .
Mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za masafa marefu upande wa wanaume, Kelvin Kiptum, anatarajiwa kuzikwa hii leo Ijumaa nyumbani kwake katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet mkoa wa bonde la ufa nch . . .
Rais wa Senegal, Macky Sall, amesema ataondoka madarakani wakati muhula wake utakapotamatika April 2 mwaka huu, hata hivyo akashindwa kutaja tarehe nyingine ya kufanya uchaguzi.Kwa mujibu wa rais Sall . . .
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Hassan Wakasuvi amefariki Dunia.Chama Cha Mapiduzi kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , kimepokea kwa m . . .
Canada Alhamisi ilitangaza msaada wa dola milioni 91 za Marekani kwa Haiti, ikiwa ni pamoja na takriban dola milioni 60 kwa ajili ya kutumwa kwa ujumbe wa kimataifa unaoongozwa na Kenya kusaidia . . .
Wimbi jipya la machafuko kaskazini mwa Msumbiji, eneo linaloshuhudia uasi wa wanajihadi, limewalazimu maelfu kukimbia makazi yao, kulingana na takwimu na vyanzo vya Umoja wa Mataifa katika jimbo la Ca . . .
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema dhamira ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Watendaji wa Wizara ya Ujenzi wanafika katika maeneo yasiyofikika kutatua changamoto za miundombinu ya b . . .
Kisiwa Cha Maajabu Zanzibar/Zawadi Kutoka Kwa Mungu . . .
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Michel Sama Lukonde, alijiuzulu siku ya Jumanne na kusababisha kuvunjwa kwa serikali yake, ofisi ya rais ilisema katika taarifa yake.Lukonde aliwa . . .
Waziri wa masuala ya haki nchini Senegal Aissata Tall Sall ametangaza kuachiwa huru kwa karibia waandamanaji 400 wa kisiasa kutoka jela.Waandamanaji hao walikamatwa na kufungwa gerezani wakati w . . .
Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Kilimahewa uliopo eneo la Mtakuja, wameiomba Serikali ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera kuingilia kati na kuwanusuru na Mbwa wakali wanaozurula mitaani, ambao wageuka kuw . . .
Utawala wa kijeshi nchini Guinea umeagiza kufunwa kwa akaunti za benki na kutwaliwa kwa pasipoti za wajumbe wa serikali baada ya kuivunja serikali kwa sababu ambazo bado hazijajulikana.Siku ya Jumatat . . .
Viongozi wa kijeshi waliojiteua nchini Guinea, wamevunja serikali na wanatarajiwa kuiunda upya, katibu mkuu wa afisi ya rais alisema katika taarifa yake ya video siku ya Jumatatu.Nchi hiyo ya Afrika M . . .
Meli ya mizigo iliyosajiliwa na Uingereza inaripoti shambulio katika Mkondo wa bahari wa Bab al-MandebKulingana na ripoti za vyombo vya habari, meli ya mizigo iliyosajiliwa na Uingereza ilishambuliwa . . .
Aidha Kigali imeeleza kuwa jumuiya ya kimataifa haijali kutokana na kile imedai kuwa ni shughuli za kijeshi zinazoendelezwa na DR Congo na kwamba operesheni kubwa za nchi hiyo huko Kivu Kaskazini ni k . . .
Jeshi la Marekani, Jumapili limesema kuwa vikosi vyake katika Bahari ya Sham "vimefanikiwa kufanya mashambulizi matano ya kujilinda" ili kuzuia mashambulizi ya nchi kavu na baharini, kutoka maeneo yan . . .
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahuduma wakimbizi, UNHCR,Filippo Grandi ametaka malipo yarejeshwe kwa shirika lake tanzu la kuwahudumia kutoa msaada wa kwa Wapalestina, UNRWAIsrael imewashut . . .
Waziri mkuu wa zamani wa Thailand Thaksin Shinawatra leo hii ameachiwa huru kutoka gerezani kwa msamaha.Shinawatra mwenye umri wa miaka 74, alikuwa akitumikia kifungo kwa makosa ya rushwa. Vyombo vya . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024. . . .
Alievunja rekodi kwa kukaa chini ya maji kwa muda mrefu Dk. Joseph Dituri anadaiwa kuwa kukaa kwake chini ya maji kumemsababisha kutozeeka mapema.Uchunguzi uliofanywa wakati alipokuwa chini ya maji ul . . .
Mtambo wa kwanza wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere umefanikiwa kuwashwa kwa majaribio hali itakayoboresha upatikanaji wa umeme nchini.Hayo yamebainishwa na leo Februari 16 Bungeni Mji . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imekutana na wadau kutoka Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini (WSSA) ili kujadili na kuboresha Muundo mpya wa Mpango wa Biashara kwa . . .
Mawaziri wa Burkina Faso, Mali na Niger walikutana katika mji mkuu wa Burkina Faso Alhamisi kujadili kuunda shirikisho, Serikali hizo tatu za kijeshi mwezi Septemba ziliunda mkataba wa ulinzi na . . .
TikTok inachukua hatua kukabiliana na habari potofu kuhusu uchaguzi ujao wa Umoja wa Ulaya, ikiwa ni pamoja na kuweka vituo vya kuhakiki taarifa ndani ya programu ya app yake, jukwaa hilo ambalo husam . . .
"KIFO CHA LOWASSA HAKIWEZI KUSITISHA KUDAI HAKI ZA WATANZANIA" KUELEKEA MAANDAMANO YA CHADEMA MWANZA . . .
Zanzibar Hakuna Wizi Kama Maeneo Mengine na Sababu ni Hizi Hapa . . .
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameamuru Wanajeshi wake 2,900 kupelekwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo – DRC, ili wakasaidie kupambana na waasi.Wanajeshi hao, wataelekea DRC wakiwa ni sehemu . . .
WAZIRI wa ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin mwenye umri wa miaka 70 anaendelea na majukumu yake akiwa hospitali, msemaji wa Pantagon Meja Jenerali Pat Ryder alisema katika taarifa .Austin alikosolewa m . . .
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23, kulinga . . .
Mkuu wa Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Mheshimiwa Aziza Mangosongo ameiagiza Kampuni ya Uchimbaji madini ya makaa ya mawe TANCOAL kufanya uthamini upya wa athari za nyumba zilizoharibika kutokana na mlip . . .