RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS PHILIPE NYUSI WA MSUMBIJI ADDIS ABABA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii