Waziri Wa Ulinzi Wa Marekani Alazwa Hospitali

WAZIRI wa ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin mwenye umri wa miaka 70 anaendelea na majukumu yake akiwa hospitali, msemaji wa Pantagon Meja Jenerali Pat Ryder alisema katika taarifa .

Austin alikosolewa mwezi uliopita kwa kushindwa kutangaza kwamba aligunduliwa na saratani na kulazwa kwake hospitali mwezi Disemba na Januari, ikiwemo kutompa taarifa Rais Joe Biden.

Anatarajiwa kujieleza mbele ya bunge kuhusu hali yake ya afya Februari Feb 29.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii