DC MBINGA AIAGIZA KAMPUNI YA TANCOAL KULIPA FIDIA KWA WANANCHI


Mkuu wa Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Mheshimiwa Aziza Mangosongo ameiagiza Kampuni ya Uchimbaji madini ya makaa ya mawe TANCOAL kufanya uthamini upya wa athari za nyumba zilizoharibika kutokana na mlipuko wa baruti ili kuwalipa fidia wananchi wa Ntunduwaro.

Mangosongo ametoa maagizo hayo Wakati anazungumza na wananchi wa kijiji cha Ntunduwalo kata ya Ruanda Halmashauri ya Mbinga.

Wananchi wa kijiji hicho walipata athari za uharibufu wa  mali na nyumba kutokana na milipuko wa baruti uliofanywa na Kampuni ya uchimbaji madini ya TANCOAL.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii