Wakati huu dunia, ikiadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, wanawake katika nchi zinazoendelea wanalazimika kubeba mzigo mkubwa wa kuwa walezi wa watu kwenye jamii hasa wanaougua magonjwa yasiyoambu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam hii leo Machi 8, 2024. . . .
“Nawatakia kheri ya maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani.” Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri.Kihistoria, kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, kimekuwa kik . . .
Ufaransa itabakisha wanajeshi wake nchini Chad, iliyo chini ya utawala wa kijeshi, huku ikiwaondoa kwingineko barani Afrika, kutokana na mvutano na tawala za kijeshi, mjumbe wa Rais wa Ufaransa Emmanu . . .
Katika kuimarisha ulinzi, usalama, kubaini na kutanzua uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limefanikiwa kukamata Genge la waalifu zaidi ya 16, ambao wanadaiwa kujihusisha na matukio ya uhalifu wa . . .
Mwanaume mmoja (62), kutoka mji wa Magdeburg nchini Ujerumani, anadaiwa kwa makusudi au kwa sababu za kibinafsi kuamua kuchanjwa mara 217 chanjo za Uviko-19 ndani ya miezi 29.Ushahidi wa matikio ya mt . . .
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa mapaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2023, watu milioni saba walikimbia makazi yao nchini DRC, wakiwemo milioni 2 na laki 5 katika jimbo la Kivu Kaskazini pekee.hir . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawas . . .
Bei ya mafuta kwa mwezi Machi imepanda ambapo kwa mkoa wa Dar es Salaam petroli itauzwa kwa shilingi 3,163 kutoka 3,051 mwezi Februari, dizeli 3,126 kutoka 3,029 na mafuta ya taa yatauzwa shilin . . .
Mahakama ya rufaa ya serikali kuu ya Marekani, Jumanne ilikataa kuwajibisha kampuni tano kubwa za teknolojia kwa madai yao ya kuunga mkono matumizi ya watoto katika shughuli za uchimbaji madini . . .
Utaratibu wa sheria na utaratibu nchini Haiti unaonekana kuharibika huku nchi hiyo ikionekana kuwa katikati ya kile kinachoonekana kuwa mapinduzi yanayoongozwa na genge. Haiti imetoa hali ya hata . . .
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa Watumiaji wa vyombo vya moto kuondoa namba za magari zilizoo . . .
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilipokeza Tuzo ya Kimataifa ya Wanawake wenye Ujasiri, katika sherehe zilizofanyika Jumatatu katika Ikulu hapa mjini Washington DC.Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani . . .
Mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita, ICC, hapo jana imethibitisha kuwa itaanza kusikiliza kesi ya uhalifu dhidi ya kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda, Lords Rseistancy A . . .
Taifa la Somalia, limejiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuwa taifa la nane mwanachama wa taasisi hiyo ya kikanda ambapo Bendera yake ilipandishwa rasmi kwenye Makao Makuu ya Jumuiya . . .
Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongzi wa upinzani kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya dola 300 kwa tuhuma za kumtukana mfanyabiashara wa kike kutoka RussiaHakimu Vongai Guwuriro aliam . . .
Daktari wa Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa kiongozi huyo yuko katika hali nzuri kuongoza na hakuna wasiwasi wowote wa kiafya.Hii ni baada ya rais huyo mwenye umri wa miaka 81 kufanyiwa uchungu . . .
Jaji wa mahakama ya rufaa ya New York, Jumatano alikataa ombi la Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kusitisha tozo ya faini ya dola milioni 454 katika kesi ya ulaghai dhidi yake, na kupinga ombi . . .
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma imefanikisha upandikizaji wa betri kwenye moyo kwa watu watatu.Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Moyo wa BMH, Daktari Bingwa wa Moyo, Happiness Kusima ame . . .
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, anatarajia kufanya ziara ya kikazi kwa siku 3 nchini Tanzania, kuanzia Februari 29 hadi Machi 2.Ziara hiyo inayolenga kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchu . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Saad Ishabailu kwa kosa l . . .
Mahakama ya Mwanzo Wilayani Kalambo, imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela kila mmoja wakazi saba wa Kijiji cha Kalambo kilichopo Wilayani humo Mkoani Rukwa, baada ya kukutwa na hatia ya kugomea Wa . . .
Takriban watu 576,000 katika Ukanda wa Gaza, robo ya wakazi wa Gaza wako katika hatari kubwa ya kukabiliwa na njaa, afisa mkuu wa Umoja wa mataifa aliliambia Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Juma . . .
Utawala wa kijeshi nchini Guinea Jumanne ulisema umemteua waziri mkuu mpya siku nane baada ya kuivunja serikali ya awali, huku shughuli katika mji mkuu wa Conakry zikizorota kwa siku ya pili ya mgomo . . .
Rais wa Kenya William Ruto alikuwa na mazungumzo na kinara wa upinzani nchini Raila Odinga katika mkutano ambao haukutangazwa nchini Uganda Jumatatu, Februari 26. Wawili hao walikuwa wenyeji wa R . . .
Muswada huo ulipitishwa kwa kura 118 za "Ndio" huku kukiwa na kura sita za "Hapana".Kura hiyo imefanyika baada ya kucheleweshwa kwa zaidi ya miezi 18 kufuatia mzozo na washirika wa Hungary waliojaribu . . .
Timu za Usimamizi na Uratibu wa shughuli za afya ,Lishe, na Ustawi wa Jamii ngazi ya Mkoa (RCHMT) na Halmashauri (CHMT), zimetakiwa kusimamia ipasavyo ujenzi wa miradi ya afya viporo ikamilike kwa wak . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuwa operesheni kubwa ya kijeshi ya Israel kwenye mji wa kusini wa Rafah katika Ukanda wa Gaza itaathiri vibaya shughuli za kutoa misaa . . .
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimimiwa Jumanne Sagini amefika Jijini Arusha na kukagua eneo la ajali lilotokea Februali 24, 2024 katika barabara ya Arusha – Namanga, Eneo la Ngaramtoni . . .
Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo February 26,2024 limeanza safari yake ya kwanza rasmi ya majaribio ya treni ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Mkoani Morogoro, hii ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa a . . .