Walioweka namba za 3D kwenye magari wapewa siku 14

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa Watumiaji wa vyombo vya moto kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama 3D na vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa, namba zote zenye vibao vyeusi na wanaotumia namba za chasis, taa zozote pamoja na stika ambazo zimeongezwa kwa matakwa ya Wamiliki au.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii