Ufaransa itapeleka ndege maalum kwa ajili ya kuwaondoa nchini Haiti raia wake walioko hatarini zaidi. Safari za ndege kutoka na kuingia mji mkuu Port-au-Prince zilikatizwa kutokana na vurugu za kisias . . .
Hospitali ya Kufundisha, Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH) imebandika zaidi ya nyadhifa 200 kwa Wakenya wasio na kazi lakini waliohitimu. Kupitia tovuti yake, kituo hicho cha a . . .
Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula, alisema Alhamisi kwamba atachukua likizo maalum, kutokana na uchunguzi wa tuhuma za rushwa, wakati alipokuwa waziri wa ulinzi.Wapelelezi waliva . . .
Tanzania na Ujerumani zimesaini makubaliano ya ahadi (commitment) ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 (sawa na shilingi bilioni 193.71) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nc . . .
Takriban maafisa 70 wa zamani wa Marekani, wanadiplomasia na maafisa wa jeshi Jumatano walimtaka Rais Joe Biden kuionya Israel kuhusu kukabiliwa na hatua kali ikiwa itawanyima Wapalestina haki zao za . . .
Baadhi ya wauguzi nchini wameshtaki Baraza la Uuguzi na Ukunga la Nigeria na Waziri wa Afya miongoni mwa wengine kuhusu miongozo mipya ya uhakiki wa cheti.NMCN ilikuwa mnamo Februari 7, 2024, ilitoa w . . .
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, na kwa mara ya saba mfululizo, nchi ya Finland imetangazwa kuwa nchi ambayo raia wake wana furaha zaidi duniani.Finland inafuatiwa na majirani zake wa eneo la Nordi . . .
Vikwazo vya kimataifa vimechangia kuzorota kwa haki za binadamu nchini Korea Kaskazini, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali la Human Rights Watch, huku Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ambay . . .
Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Paulo Teveli amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela bila faini, baada ya kutiwa hatiani kwa uhujumu uchumi.Teveli alikuwa akikabil . . .
RAIS William Ruto amelalamikia ufujaji wa rasilimali katika baadhi ya mashirika ya serikali, akisema jambo hilo limekuwa likipunguza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi.Dkt Ruto amesema kuanzia bajeti ya . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaja kusikitishwa na taarifa za mashambulizi ya anga yanayoendelea katika vijiji vya jimbo la Rakhine nchini Myanmar.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa . . .
Kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza, Jonathan Makanyaga (6), anayedaiwa kufariki dunia kwa kupigwa viboko na mwalimu, kimewaibua wadau wa elimu wakiiomba Serikali kudhibiti adhabu hizo ili kuepush . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala.Sherehe zinaf . . .
Ni baada ya Umoja wa Ulaya kupendekeza mabadiliko ya sheria kupunguza kwa kiasi kikubwa kanuni za mazingira za CAPMamia ya wakulima waliandamana katika mji mkuu wa Uhispania kwa miguu na kwa kutumia t . . .
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais William Ruto wa Kenya, na Rais wa zamani wa Liberia George Weah wameibuka Kuwa washindi katika tuzo za 12 Viongozi Bora wa Mwaka wa Jarida la Uongozi wa Ki . . .
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha miradi mitatu ya ujenzi wa barabara zenye jumla ya Kilomita 111.4 &nb . . .
Uamuzi, ambao unaanza mara moja, unafuatia ziara ya maafisa wa Marekani wakiongozwa na Waziri Mdogo wa Mambo ya Nje kwa Masuala ya Afrika Molly Phee na ikimjumuisha Jenerali Michael Langley, kamanda w . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) wamewafikisha katika Mahakama ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga watu 23 wana . . .
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetajwa leo, kikosi ambacho kitakachokwenda Azerbaijan kwa michezo ya FIFA Series 2024. . . .
Meli ya misaada kutoka Uhispania iliyobeba tani 200 za msaada wa chakula ilisafiri kutoka Cyprus hadi huko Gaza Jumanne, zikiwa juhudi za hivi karibuni za kugawa chakula kwa maelfu ya Wapalestina wana . . .
Kampuni ya AirBNB inayowezesha Watu mbalimbali duniani ( ikiwemo Tanzania ) kukodisha makazi ya muda mfupi kwa njia ya mtandao, imepiga marufuku Wamiliki kuweka camera za usalama ndani ya nyumba kutok . . .
Wanachama 381 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Geita wametangaza kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uamuzi huo unakuja ikiwa ni sehemu ya kumuunga m . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amesema jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua nchi kiuchumi zimesaidia uwepo wa . . .
Mkazi wa Kijiji cha Mashese, Daines Paul Mwashambo (30), ambaye alikuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wawili kwa kuwanywesha sumu kutokana na msongo wa mawazo amefariki dunia.Kam . . .
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kaduna wameanza harakati za kiviwanda, na kuwaacha wakazi wa majimbo ya Kaduna, Sokoto, Zamfara na Kebbi wakiwa gizani.Wafanyakazi hao, chini ya uangalizi . . .
Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za machafuko yanayoongozwa na magenge ya watu wanaotaka aondolewe madarakani.Henry alikuwa nchini Kenya kutia saini mkataba wa kutumwa . . .
Vikosi vya Marekani vimesema vimeiharibu droni ya chini ya maji na karibu makombora 20 ya masafa marefu katika mfululizo wa mashambilizi dhidi ya waasi wa Houthi.Kamandi kuu ya jeshi la Marekani CENTC . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Wakuu wa Wilaya za Lushoto na Pangani.Taarifa ya K . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Serikali Nchini Sudan, Jenerali Yasser al-Atta, amesema hakutakuwa na usitishaji wa mapigano wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadan.Yasser amesema, makabili . . .
Aidha, amewaagiza watendaji wa Serikali kuhakikisha wanailea Sekta binafsi na kila mtu atimize wajibu wake kwenye eneo lake na kwamba Watendaji ambao ni warasimu lazima waone aibu kwa kuchelewesha shu . . .