Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.Hayo yamebainishwa na Mkuu . . .
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema zaidi ya wanachama 1,000 wa kundi la Hamas wanapokea matibabu nchini Uturuki.Rais Erdogan ameyasema hayo katika mkutano wa pamoja wa waandishi wa haba . . .
Aliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki anatarajiwa kuhojiwa na Kamati ya sheria, Haki, na Hadhi ya Bunge la Jumuiya hiyo juu ya tuhuma zilizotolewa dhi . . .
Kampuni moja inayotengeneza mkate maarufu nchini Japani imetoa agizo la kurejeshwa kwa mikate elfu kadhaa na wateja kurejeshewa pesa zao baada ya mabaki ya panya kupatikana kwenye bidhaa hiyo.Takriban . . .
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefanya mabadiliko na kumuondoa Waziri wa ulinzi, lkjaziri Sergei Shoigu ikiwa ni sehemu ya kupanga safu yake wakati huu anapoanza awamu yake ya tano madarakani.Shoigu h . . .
Richard Slayman kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo ya Nguruwe amefariki dunia hii leo Jumapili Mei 12, 2024.Kwa mujibu wa BBC Slayman (62) ambaye ni mtu wa kwanza kupandikizwa figo ya mny . . .
Wanaharakati nchini Uganda pamoja na wanasiasa nchini humo, wamewakosoa maofisa kadhaa wa juu wa Serikali ya Uingereza, kwa kile wamesema upuuzi kwa maofisa hao kumpongeza mtoto wa rais Yoweri Museven . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alielezea kuwa ni uhaini kwa hatua ya tangazo la kampeni la chama cha upinzani ambalo linaonyesha bendera ya taifa inayowaka moto, huku uhasama kati ya vyama vya . . .
Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda leo, amesema ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa na uhitaji Serikali itaongeza fursa za m . . .
Washirika wa Israeli wamekuwa wakionya dhidi ya oparesheni zake katika eneo la Rafah lenye idadi ya raia wa Palestina zadi ya milioni moja wengi wao ambao walitoroka mapigano yanayoendelea kati ya Ham . . .
Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi, ameiomba serikali kwamba ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner inayotarajiwa kuwasili nchini mwishoni mwa mwezi huu wa Mei ipewe jina la Baba wa Taifa Mwal . . .
Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne kama rais wa Urusi kwa muhula wa tano, ambapo yuko mamlakani kwa muda mrefu bila kupingwa licha ya upinzani uliokandamizwa, katikati ya msukumo wa wana . . .
MAREKANI yafanyia Majaribio drone yake ya majini inayofanana na Samaki ‘Manta Ray’ . . .
Kilimo ni moja ya shughuli ya Mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara inayoweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake na kupitia kipat . . .
Mabadiliko Mfumo wa elimu yametajwa kuwa ni chachu katika kuchangia, kumaliza au kupunguza rushwa ya ngono ambayo imekuwa ikisababisha matatizo kwa Wasichana kwa kuathiri maendeleo na haki zao hasa wa . . .
Ufaransa inakadiria kuwa wanajeshi 150,000 wa Urusi wameuawa tangu taifa hilo lilipoivamia Ukraine.Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Stephane Sejourne, amesema hayo kwenye mahojiano na gazeti la Uru . . .
Mgombea anayaetarajiwa kuwa mteule wa urais wa kupitia chama cha Republican Donald Trump anasema akichaguliwa atarejesha tena marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi katika siku y . . .
Dunia imebeba Mengi sana ila mimi nimekubali kubebwa nawe kipenzi changu, kwani wewe ndiye Dunia yangu, chochote wachukue lakini waniachie wewe, Maria wangu, mwanamke wa maisha yangu, NAKUPENDA MNOO!! . . .
Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amewataka watumishi wa umma ndani ya Mkoa huo kutazama mafao yao kama yanapelekwa kwenye mfuko husika na kujua wameweka kiasi gani na kwamba jambo hilo liwe jukumu la . . .
Kunenepa sana sio tu kushindwa kuficha manyama uzembe au kutotosha kwenye nguo. Sasa ni janga la afya duniani ambalo linaonekana wazi lakini mara nyingi hupuuzwa. Watafiti wanasema kuwa unene kupita k . . .
Polisi wa Uturuki jana Jumatano walifyatua mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira pamoja na kuwaweka kizuizini zaidi ya waandamanaji 200 baada ya mamlaka kupiga marufuku mikusanyiko ya kuadh . . .
Wabunge wa Marekani watapiga kura wiki ijayo, itakayobaini iwapo Spika wa baraza la wawakilishi Mike Johnson atasalia mamlakani, kwenye mojawapo ya nyadhifa za juu za uongozi katika serikali ya Mareka . . .
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia kilichopo jijini New York, wamemakamatwa na polisi baada kuanzisha maandamano ya kulaani vita vinavyoendelea kwenye ukanda wa Gaza.Polisi wamewamia wafunzi hao wal . . .
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuweka vikwazo vipya kwa watengenezaji wa ndege zisizo na rubani na makombora wa Iran kutokana na shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Israel mwishoni mwa jum . . .
Marekani imewazuia maafisa wanne wa zamani wa serikali ya Malawi kuingia nchini, kwa sababu ya kuhusika kwao katika ufisadi mkubwa, Wizara ya Mambo ya Nje ilisema Jumatano.Marekani imewazuia maafisa . . .
Baada ya kutangaza kuwa "watu wasiofaa" kwa "shughuli za uasi" na mamlaka ya Burkina Faso, wanadiplomasia watatu wa Ufaransa wametakiwa kuondoka nchini Burkina Faso, kulingana na barua iliyoandikwa si . . .
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuwachukulia hatua watumishi watakaokiuka utaratibu kwa kutumia mbwa wanapowakagu . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ya Zimbabwe – PRAZ, imeingia nchini kupata uzoefu wa uendeshaji wa michakato ya Ununuzi wa umma kupitia PPRA.Akizungumza baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa D . . .
Mahakama ya Argentina iimeamua hivi punde siku ya Alhamisi jioni Aprili 11 kwamba mashambulio dhidi ya ubalozi wa Israeli mnamo mwaka 1992 na majengo ya Jumuiya ya Waisraeli ya Argentina (AMIA) mnamo . . .
Israel Jumatano iliwaua watoto watatu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh katika shambulio la anga huko Gaza, ikisema ndugu hao walikuwa wanachama wa tawi la kijeshi la Hamas.Wajuku wanne wa Hani . . .