cha kwanza cha Bunge kitafunguliwa mjini Cape Town leo Ijumaa, Juni 14, karibu saa 4 asubuhi, tangu uchaguzi wa wabunge mwezi uliopita, ambao ulishuhudia ANC, chama kilichokuwa madarakani tangu kumali . . .
Rais Joe Biden, wa Marekani, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, wanatazamiwa kutia saini makubaliano ya muda mrefu ya ulinzi na usalama Alhamisi katika mkutano wa nchi saba tajiri nchini Italia. . . .
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la bajeti huku akisema taarifa zaidi zitatolewa baadaye. . . .
Hamas imejibu pendekezo linaloungwa mkono na Marekani la kusitisha mapigano Gaza kupitia wapatanishi wa Qatar na Misri.Qatar na Misri wanaangazia majibu hayo na kuthibitisha kuendelea na upatanishi na . . .
Shirika hilo limesema idadi hiyo ni sawa na asilimia 60 ya wototo wote wa umri huo duniani kote wanaopitia mateso ikiwa pamoja na kudhalilishwa kwa kutolewa lugha zisizo na staha.Makadirio mapya ya&nb . . .
Shughuli za kutafuta na za uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyopotea iliyokuwa inambeba makamu rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika alisema Jumatatu. . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema. . . .
Korea Kaskazini imetuma tena mamia ya puto za taka kuelekea Korea Kusini na kuonya Jumatatu italipiza kisasi ikiwa Seoul itaendelea na "vita vyake vya kisaikolojia." . . .
Mkuu wa shirika la kimataifa waandishi habari wasiokuwa na mipaka - RSF Christophe Deloire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53. Deloire aliugua ugonjwa wa saratani.Katika salamu zake za rambiram . . .
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikia . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewahotubia wabunge nchini Ufaransa na kutaka mataifa ya Magharibi kuipa msaada zaidi ili kushinda uvamizi wa Urusi kwenye nchi yake.Kiongozi huyo wa Ukraine&n . . .
Wananchi wa Kijiji na Tarafa ya Kintinku Wilayani Manyoni Mkoani Singida wamefurahishwa baada ya kuona maji yakitoka bombani.Wamesema kuwa Vijiji vingi katika Tarafa hiyo iliyopo ukanda wa bonde la uf . . .
Ukuaji wa uchumi wa Kenya utapungua hadi asilimia tano mwaka huu baada ya kuimarika sana mwaka 2023, Benki ya Dunia ilisema Jumatano.Taifa hilo lenye uchumi imara katika ukanda wa Afrika Mashariki lim . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatano alitoa wito kwa Moscow “kujenga” uhusiano na serikali ya Taliban, wakati ujumbe wa Taliban ukiitembelea Russia.“Siku zote tumekuwa tukiamini kwamba tunahit . . .
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg akihutubia mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa mkutano usio rasmi wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO huko Prague, Jamhuri ya Czech Mei 31, 2024.Katika mah . . .
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambaa kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.Kupitia . . .
Korea Kusini inapanga kuita kikao cha wazi cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katikati ya mwezi Juni kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini.Haya yamesemwa na ba . . .
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini – BRELA, imewataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya kujisajili kwani wasio na usajili hawatoweza kuomba tenda rasmi ambazo zinatangazwa na Taasisi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta yaAnga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aeros . . .
Korea Kaskazini imesema itaacha kutuma maputo yaliyojaa takataka nchini Korea Kusini.PyongYang imesema imechukua hatua hiyo ya kutotuma tena maputo hayo kwasababu Korea Kusini sasa imefahamu vya kutos . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kudumisha amani, mshikamano na upendo na kamwe wasigawanywe kwa sababu yoyote.Amesema hayo wakati akimwakilisha Rais . . .
RAIS William Ruto ametangaza serikali itawekeza Sh100 milioni katika kiwanda cha kutengeneza viatu na ifikapo mwaka wa 2027, Kenya itakoma kuagiza viatu kutoka nje.Akiongea Jumamosi mjini Bungoma waka . . .
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi Jumamosi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kw . . .
Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .
Serikali imetangaza kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika jiji la Dodoma ili kuhifadhi historia ya waasisi na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania.Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki . . .
Wakati wananchi wa Manyara wakilalamika kulipwa fidia ndogo waliyolipwa kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema ma . . .
Tanzania na Denmark zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kutekeleza programu ya maboresho ya mifumo ya kodi.Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaabani kwa . . .
Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .
Kama ANC kitashindwa itakuwa ni mara ya kwanza kupoteza viti vyake vingi bungeni tangu kumalizika ubaguzi wa rangi 1994.Chama cha Afrika Kusini cha African National Congress, ambacho kilipata madaraka . . .
Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo.Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana . . .