Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa Simiyu

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii