Mbunge afariki Dunia, Spika Tulia atangaza

Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la bajeti huku akisema taarifa zaidi zitatolewa baadaye.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii