Pyongyang yatuma puto zaidi za takataka, yatishia Seoul kwa 'kulipiza kisasi'

Korea Kaskazini imetuma tena mamia ya puto za taka kuelekea Korea Kusini na kuonya Jumatatu italipiza kisasi ikiwa Seoul itaendelea na "vita vyake vya kisaikolojia."
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii