Waziri Wa Utalii Zanzibar alivyoshuhudia mifumo ya malipo Banda La Tigo Arusha

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikiana kukuza utalii, katika banda la Tigo, lililopo Viwanja vya Magereza, Kisongo, Arusha.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii