Wakati akiendelea kupata shinikizo la kimataifa kuhalalisha kuchaguliwa kwake tena, rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametishia hivi punde siku ya Jumatano Julai 31 kuwafunga viongozi wawili wa upinzan . . .
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali ipo katika mchakato wa kudhibiti madaktari wanaofanya kazi kwenye hospitali zaidi ya moja na vituo vya afya binafsi.Hayo ameyasema leo Julai 30,2024 katika . . .
Zaidi ya nyumba 4,000 katika mji wa Sinuna na eneo la Uiju lililoko karibu na mpaka wa China nchini Korea Kaskazini zimekumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayonyesha katika maeneo hayo.Haya ya . . .
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameapa siku ya Jumatano, Julai 31, kutoa "adhabu kali" kwa Israel, inayotuhumiwa kumuua kiongozi wa Hamas wa Palestina Ismaïl Haniyeh mjini Tehran."Kwa . . .
Walimu wa Shule ya Sekondari Ivumwe inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi iliyopo Kata ya Mwakibete Jiji Mbeya wamefunga geti kwa kutumia gogo wakimzuia Mkuu wa Shule hiyo kuingia nd . . .
Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki.Hadi Sasa wafanyabiashara . . .
Rais mpya wa Iran Massoud Pezeshkian ataapishwa mbele ya Bunge leo Jumanne Julai 30. Kisha atakuwa na siku 15 za kuwasilisha mawaziri wake kwenye Bunge kwa ajili ya kupigiwa kura ya imani mbele ya bar . . .
NAIBU wa rais nchini Amerika na mgombeaji wa kiti cha urais Kamala Harris, achangiwa $200m za kufanya kampeni.Hali hiyo ilitokea baada ya rais wa Amerika Joe Biden kutangaza kusitisha azma yake ya kuw . . .
Vyombo kadhaa vya habari nchini Afrika kusini vimeripoti kwamba, kamati ya nidhamu ya chama tawala cha African National Congress ANC imepitisha maamuzi ya kumtimua chamani aliyekuwa rais wa taifa hilo . . .
RAIS William Ruto ameahidi kuwa atawasaidia Wakenya wasiokuwa na kazi kupata ajira ughaibuni huku akilenga kuwatuliza vijana ambao wamekuwa wakimshinikiza ajiuzulu kwa kutotimiza ahadi alizotoa kabla . . .
Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa ni w . . .
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na wataalamu wa afya wana wasiwasi kwa sababu idadi ya wagonjwa wa Ndui ya nyani, ambao pia huitwa Monkeypox, inaongezeka. Zaidi ya wagonjwa 11,00 . . .
Serikali ya Brazil iliomba msamaha kwa ukiukwaji wa haki za binadamu katika mateso na kufungwa kwa wahamiaji wa Japan katika miaka ya baada ya vita ya pili ya dunia.Eneá de Stutz e Almeida, rais wa T . . .
Watu 21 wamefariki katika muda wa saa 24 katika mji wa Beni Mellal, katikati mwa Morocco, kutokana na wimbi jipya la joto linaloikumba nchi hiyo, katika kipindi cha mwaka wake wa sita mfululizo wa uka . . .
RAIS William Ruto jana alionekana kumeza ODM na kupunguza upinzani dhidi ya utawala wake baada ya kuwateua vigogo wa chama hicho kwenye baraza lake la mawaziri.Kiongozi wa nchi jana aliteua uongozi wa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba, uliopo Mkoani . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu alitoa hotuba Jumatano Julai 24 kwa Bunge la Marekani, zaidi ya miezi tisa baada ya shambulio la Hamas Oktoba 7 na kuanza kwa vita huko Gaza. Ziara yake ilikos . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amesema "anapitisha mwenge kwa kizazi kipya" alipokuwa akielezea uamuzi kuondoka kwake ghafla kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa 2024.Amesema hayo kwa Wamarekani . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024. . . .
Wizara ya afya katika Ukanda wa Gaza imesema hivi leo kwamba watuw apatao 39,145 wameuliwa katika kipindi cha zaidi ya miezi tisa ya vita kati ya Israel na wanamgambo wa Kipalestina wa kundi la Hamas. . . .
Marekani imelialika jeshi la Sudan na vikosi vya akiba nchini Uswisi, kwa ajili ya mazungumzo ya upatanishi ya Marekani ili kusitisha mapigano kuanzia Agosti 14, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, An . . .
Nchini Uganda, mwanasiasa wa upinzani Bobi Wine amesema maofisa wa usalama wamezingira makao makuu ya chama chake.Hatua hii inakuja kuelekea maandamano yaliopangwa kufanyika siku ya Jumanne ya wiki hi . . .
IDADI ya watu wanaougua saratani ya uume inaendelea kupanda kote ulimwenguni kutokana na utafiti na uchunguzi uliofanywa na wataalamu.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha . . .
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo Jumatatu kujadili migogoro inayoendelea nchini Ukraine na Mashariki ya Kati.Hata hivyo mkutano huo huenda ukagubikwa na suala la hatua y . . .
Wademokrat wako tayari kugeuza udhaifu wa kisiasa ambao ulikuwa ukimsakama Biden—Umri wake – na kumshambulia Trump.Hii pengine inawezekana kuwa na athari kwa Donald Trump, ambaye ndiye mgombea mwe . . .
Baada ya kutangaza kujiengua kwenye kinyang’anyiro cha Urais wa Marekani, Rais wa Nchi hiyo, Jose Biden amempigia upatu Makamu wa Rais Kamala Harris kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi utakaofanyik . . .
Wananchi na Wanachama wa SACCOS Ya Lupembe Iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Wametaka Kurudisha Kwa Fedha Katika Saccos Hiyo zaidi ya Shilingi Milioni 600 zinazo Daiwa Kutafunwa na Viongozi wa s . . .
Nchini Kenya, rais William Ruto ameteua mawaziri wapya 11 siku ya Ijumaa Julai 19, 2024 jijini Nairobi. Tangazo ambalo linajiri siku 8 baada ya William Ruto kuvunja karibu baraza lake lote la mawaziri . . .
Polisi wa Kenya Jumatano walisema “hakuna maandamano yatakayoruhusiwa” Katikati mwa mji mkuu, Nairobi, kufuatia maandamano ya kuipinga serikali, yaliyosababisha vifo.Nchi hiyo imekumbwa na maandam . . .
Mgogoro nchini Sudan ndio mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu duniani, unasema Umoja wa Mataifa, huku zaidi ya Wasudan milioni 13 wakiwa wamehama au kuwa wakimbizi. Majadiliano yasiyo ya moja kwa moja yal . . .