logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • HABARI ZA MASTAA
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Kiuchumi Na Biashara

  • Pata Habari Zote Za Biashara Na Uchumi
news
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Benki ya Dunia"Umaskini uliokithiri utaendelea kuwepo"

Benki ya Dunia imesema sio rahisi ulimwengu kulifikia lengo lake la kuondoa umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2030. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya ya Benki ya Dunia iliyotolewa jana. Ripoti hiyo . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Nchi zinazo zalisha petroli duniani zapunguza uzalishaji

Jumuiya ya Nchi zinazouza petroli duniani, pamoja na Russia na wazalishaji wengine wa mafuta, Jumatano zilipunguza uzalishaji mafuta  kwa mapipa milioni 2 kwa siku.Hatua ambayo inaweza kusaidia M . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • October 2, 2022

Tozo mpya miamala ya simu, benki hii hapa

Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na M . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Tanzania Kuuza Tumbaku Japan Sasa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani atembelea Tanga

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani Dr Bärbel Kofler, amefanya leo ziara ya kihostoria katika jiji la Tanga nchini Tanzania. Ziara yake inaleta ujumbe mzito wa uungwaji . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

IMF "Uchumi wa dunia unajikokota".

Shirika la kimataifa la fedha IMF, limesema Jumanne kwamba uchumi wa dunia uko katika kasi ya pole pole, na wala hakuna dalili za hali hiyo kubadilika kwa haraka. IMF limesema kwamba ina . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

IMF yaipa Tanzania mkopo wa dola bilioni moja

Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limesema limeipa Tanzania mkopo wa dola bilioni 1.046 utakaotolewa katika kipindi cha miezi 40, kwa lengo la kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za vita vya . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

Serikali Yatambua Mchango Wa Mafundi Sanifu Katika Ukuaji Uchumi

Serikali imesema inatambua mchango wa mafundi sanifu nchini katika kuufikia uchumi wa kidijitali unaokwenda sambamba na matokeo ya ubunifu na mabadiliko ya teknolojia. Ameyasema hayo jijini Dar e . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Waziri Mkuu wa Slovania atetea uamuzi wa kufanya matengenezo ya bomba la gesi

Waziri Mkuu wa Slovania, Robert Golob ametetea uamuzi wa kufanya matengenezo ya bomba la gesi linaloleta nishati hiyo kutoka Urusi hadi Ujerumani na ameyapinga madai yaliyotolewa na Ukraine. Wazir . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Viongozi wa EU wakubaliana kuacha kuagiza asilimia 90 ya mafuta kutoka Urusi

Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku uingizaji wa hadi theluthi mbili ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa si . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Biden kukutana na gavana wa Benki Kuu kujadili mfumuko wa bei

Rais wa Marekani Joe Biden leo atakutana na gavana wa benki kuu ya Marekani Jerome Powell kwa mazungumzo kuhusu hali ya uchumi wa taifa hilo na ulimwengu kwa jumla katika wakati mfumuko mkubwa wa . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 23, 2022

Tozo Daraja la Nyerere zashuka, kulipwa kwa vifurushi

Hatimaye Serikali imesikia kilio cha wananchi juu ya malipo ya kuvuka daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Saalam na kubadili mfumo wa malipo ambao unaelezwa utakuwa na ahueni.Watumi . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Ujerumani imesema inaweza kuhimili athari za vikwazo vya nishati ya Urusi

Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amesema athari za vikwazo vya Urusi katika sekta ya nishati ya Ujerumani zinaweza kudhibitiwa.Waziri huyo alikuwa akizungumzia uamuzi wa Urusi kuiwekea . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Serikali yatoa Sh100 bilioni kupunguza bei ya mafuta

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetoa ruzuku ya Sh100 bilioni kwa ajili ya kupunguza bei ya mafuta nchini.Akizungumza Bungeni leo Jumanne Mei 10, 2922 Waziri  Makamba ames . . .

news
Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Iran inadai inauza nje mafuta mengi licha ya vikwazo vya Marekani

Rais wa Iran Jumatatu amesema nchi yake inauza nje mafuta mara mbili zaidi ya wakati alipoingia madarakani mwezi Agosti, na licha ya vikwazo vikali kwa mauzo ya mafuta ya Iran vilivyowekwa na Ma . . .

Kurasa 5 ya 10

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Kilimo, mifuko na Miundombinu kipaumbele cha Samia Mbeya

    • 16 masaa yaliopita
  • Devotha Minja aahidi kuboresha huduma za kijamii Kongwa

    • 16 masaa yaliopita
  • Mwili wa aliyekuwa Askofu KKKT Dk Martin Shao waagwa rasmi

    • 17 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode