Tanzania imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi Milioni tatu (3,000,000) ambazo zitawasaidia kuwakinga wananchi 1,500,000 dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Korona. Chanjo . . .
Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shinikizo la maandamano ya umma yanayomtaka kujiuzulu kutokana . . .
Mazungumzo ya amani kuhusu Sudan Kusini, yanayosimamiwa na kituo kimoja cha kanisa katoliki nchini Itali, yameanza tena mjini Rome, kujaribu kuyaunganisha makundi ya kisiasa . . .
Mamlaka ya Marekani ya kukagua ubora wa chakula na dawa (FDA) imeidhinisha matumizi ya chanjo ya Covid 19 ya Novavax Jumatano, na hivo kuruhusu chanjo hiyo ambayo inatengenezwa kwa teknolojia ya . . .
Jaji mmoja nchini Gambia Jumatano alimuweka hatiani mkuu wa zamani wa ujasusi na maafisa wengine wa ujasusi kwa mauaji ya mwaka 2016 ya mwanaharakati wa kisiasa muda mfupi kabla ya uchaguzi amba . . .
Madiwani wa Jiji la Arusha wamemshukia Mkuu wa Mkoa huo, John Mongela wakidai amewadhalilisha kwa kuwaita wapika majungu, wafitini na wanakwamisha maendeleo.Wiki iliyopita, Mongela akiwa kwenye . . .
Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao.Wamesema hosteli hizo zitawasaidia kuwa . . .
Ndivyo unavyoweza kumwelezea Rished Bade, ambaye aliwekwa kando kwa miezi 79 tangu alipoondolewa katika wadhifa wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na sasa ameibuka akiwa Kamishna . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden, juma hili anaanza ziara ya kutembelea nchi za mashariki ya Kati, ikiwemo nchi za Israel na Saudi Arabia ambako amekosolewa kwa kupuuza rekodi mba . . .
Baraza la Umoja wa Ulaya linalowakilisha nchi wanachama 27 limeidhinisha kuipa Ukraine msaada wa fedha wa Euro bilioni moja wakati ambapo Urusi inazidisha uvamizi nchini humo. Mawaziri wa fedha wa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa madeni ya msi . . .
SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amefutilia mbali kikao maalum ambacho kiliratibiwa kufanyika leo Jumatano, Julai 13. Kwenye taarifa aliyoituma kwa vyombo vya habari Jumanne, Julai 12, Bw Mu . . .
Maofisa wa umoja wa Mataifa, juma hili wametangaza kuanzisha uchunguzi kuhusu kujeruhiwa na mauaji ya watoto yaliyofanywa katika nchi za Ukraine, Ethiopia na Msumbiji, wakati . . .
Maelfu ya wandamanaji nchini Sri Lanka wameendelea kupiga kambi katika makazi ya rasimi ya rais na yale ya waziri mkuu wakiituhumu familia ya Rajapaksa kuwa sehemu kubwa ya c . . .
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi leo ametowa tahadhari kwamba nchi zinapaswa kujiepusha kutumiwa na nchi zenye nguvu katika kanda ambayo iko kwenye hatari ya kubadilishwa kutokana na sababu . . .
KITUO cha utafiti na ubunifu kimezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya ili kuwaongeza maarifa wanafunzi wa chuo hicho. Naibu Chansela wa chuo hicho Prof Deogratius Jaganyi alisema utafiti na . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Liz Truss amethibitisha nia yake ya kugombea nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo iliyo wazi baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Boris John . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametetea ziara anayotarajia kufanya nchini Saudi Arabia mnamo wiki hii. Biden amesema katika makala aliyoandika kwenye gazeti la Washington Post kwamba sera yake ya nje . . .
Mzozo umeibuka kuhusu mazishi ya rais wa zamani wa Angola José Eduardo dos Santos, aliyefariki siku ya Ijuma wakati akipokea matibabu katika hosipitali moja nchini Hisapania . . .
Mpinzani wa kisiasa wa Saudia Menea Al-Yami aliuawa nchini Lebanon, chama cha upinzani cha Saudia National Assembly Party (NAAS) na chanzo cha usalama cha Lebanon wamesema Jumapili. Kat . . .
Maelfu ya Watu wakusanyika Tamasha la Sanjo ya Busiya (7SabaFEST) Ikiwa ni kilele cha siku ya kiswahili Duniani pamoja Kilele cha sherehe za sanjo ya Busiya wilayani kishapu mkoani shinyanga ,Ntem . . .
MNAMO Jumamosi iliyopita, viongozi wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) walitangaza kuiondolea vikwazo Mali, kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini . . .
RAIS mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud sasa anasema kuwa serikali yake ifanya mazungumzo na kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab ila kwa “wakati ufaao”. Alisema hatua hiyo ni mbinu mbadala k . . .
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili Tanzania iwe na watu wengi waliochanja na kupata Kinga ya Jamii dhidi ya UVIKO-19.Waziri Ummy . . .
RAIS Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi kutokana na athari walizozipata baada ya tembo kuvamia katika vijiji vyao na kusababisha maafa kikiwemo kifo.Salamu hizo zimetolewa jan . . .
Waziri mkuu Boris Johnson anarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini atandelea kuhudumu kama waziri hadi baadaye mwaka huu. . . .
Umoja wa Mataifa ulionya Jumatano kwamba dunia inashindwa katika juhudi zake za kutokomeza njaa kwani zaidi ya watu milioni 828 walikuwa na uhaba wa chakula hapo mwaka 2021 ikiwa ni milioni . . .
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kupunguza uhasama na hali ya wasiwasi ambayo imekumba nchi hizo kutokana na mashambulizi . . .
Mwanasheria Mkuu mstaafu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema kutoshirikishwa kwa wananchi katika utungaji wa sheria ndiyo chanzo cha wananchi kulalamikia sheria hizo.Werema ameishauri Serik . . .
NI kawaida kutembea bila viatu kwenye fuo za bahari katika visiwa vingi ulimwenguni. Lakini katika Kaunti ya Lamu, ni kawaida kukumbana na wanaume wakitembea bila viatu hadi katikati ya mji na vichoc . . .