Polisi Mkoani Manyara, inawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu wa makosa ya kimtandao, ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara, Kamishna Msa . . .
Serikali ya Shirikisho imewatahadharisha Wanigeria kuhusu kuzuka kwa Ugonjwa wa Uti wa mgongo wa ubongo.Homa ya uti wa mgongo ni kuvimba kwa umajimaji na utando (meninji) unaozunguka ubongo wa mtu na . . .
Blinken anasisitiza ili maono ya amani na usalama yafikiwe ni lazima mgogoro wa Gaza umalizikeWaziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken, amesema Israel kufanya kazi na majirani wa Kiarabu kati . . .
Nchi zote zinaweza kufikia bei sawa ya mafuta ya petroli ya kimataifa lakini huchagua kutoza ushuru mbalimbali. Matokeo yake, gharama ya rejareja ya petroli inatofautiana.Kulingana na GlobalPetrolPric . . .
Ofisi ya Rais imesema, Waziri wa mambo ya nje wa Zambia, Stanley Kakubo amejiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa kwenye mitandao ya kijamii akidaiwa kufanya makubaliano na Mfanyabiashara wa Kichina, Zao . . .
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mahujaji wa Kikristo wa Nigeria, Mchungaji Yakubu Pam, amesema kwamba mzozo unaoendelea kati ya Israel na Hamas umelazimisha mabadiliko kutoka kutembelea maeneo ya Biblia nc . . .
SERIKALI INATARAJIA KUANZA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA JIJINI MWANZA NA KUWA NA HADHI YA KIMATAIFAHAYO YAMEBAINISHWA NA MKUU WA MKOA HUO CPA AMOS MAKALLA AMBAPO AMESEMA KUWA UJENZI HUO UTAANZA NA JEN . . .
Paul Mackenzie anashutumiwa kwa vifo vya waumini wa Good News International akiwahamasisha wafunge ili "Wakutane na Yesu".Mahakama moja nchini Kenya imewapa maafisa polisi siku 14 kumfungulia mashtaka . . .
Hii ina maana angalau wajumbe tisa wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lazima wapige kura kuunga mkono hatua hiyo.Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa alisema Jumanne kwamba Mamlaka ya Pal . . .
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema nchi yake itaendelea kufanya biashara na mataifa ya kigeni ambayo hayatakuwa yanaingilia uhuru wake, matamshi aliyoyatoa majuma kadhaa tangu Marekani iiondoe n . . .
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na maboresho na mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka maradufu kwa meli za mizigo katika bandari mbalimbali zilizopo n . . .
Mahakama ya Shanzu ya Nchini Kenya huenda ikamuachilia kwa dhamana mshukiwa mkuu wa mauaji ya Shakahola, Paul Mackenzie na wenzake.Taarifa za kuachiliwa huru kwa Mackenzie na wenzake, zinadaiwa huenda . . .
Takriban Wahamiaji wasiopunguwa 6,618 walikufa au kutoweka wakijaribu kuingia Uhispania kupitia njia ya bahari mwaka 2023.Shirika la kutetea haki za Wahamiaji Nchini Hipania, limesema idadi hiyo ni ma . . .
Mustakabali wa eneo hilo unahitaji kuwa moja ya muingiliano, sio mgawanyiko na sio migogoro, alisema Blinken.Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Jumatatu viongozi wa Mashariki y . . .
Mazungumzo hayo yaliyofanyika mjini Addis Ababa yalifanyika siku hiyo hiyo Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia ameanza ziara katika nchi jirani ya Eritrea.Ethiopia imesema imefanya mazungumzo Jumata . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa United Methodist Church Bishop Dkt. Mande Muyomba katika ofisi ndogo za Bunge J . . .
Wapalestina 73 wameuwawa na wengine 99 wamejeruhiwa katika muda wa saa 24 zilizopita kutokana na mashambulizi ya vikosi vya Israel yanayoendelea kwenye Ukanda wa Gaza.Hayo yameelezwa na wizara ya afya . . .
Rais wa Ufaransa, anatarajiwa kufanyia bazara lake la mawaziri mabadiliko, kwa kumteua waziri mkuu mpya, wandani wa rais Emmanuel Macron, wakisema analenga kuipa serikali yake sura mpya.Ni mabadiliko . . .
Tukio hilo limetokea saa chache baada ya watu tisa kuuawa katika ghasia nyingine kwenye eneo hilo linalokaliwa kimabavu na Israel.Polisi wa Israel siku ya Jumapili waliwafyatulia risasi washambu . . .
Polisi Kata wa Kata ya Kisaki Wilaya ya Singida Mkoa wa Singida, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Gilbert Tende amewataka wazazi kutokuwa chanzo cha watoto kuacha shule kwa visingizio vya kukosa mahitaji kw . . .
Korea Kaskazini hivi karibuni ilipeleka makombora ya masafa ya mbali na mifumo ya kurushia kwa Russia, ili kutumika katika vita vyake dhidi ya Ukraine, ikulu ya Marekani, imesema Alhamisi.“Hil . . .
Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki yuko hai - Taasisi yake Taarifa za KifoRais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ni mzima wa afya, imesema taasisi yake.Imesema hivyo baada ya taarifa kus . . .
Nchini Kenya, rais William Ruto ameendelea kukosolewa kwa kauli yake kuwa serikali yake haitaheshimu maamuzi ya Mahakama, yatakayopinga miradi ya serikali yake, akiwashatumu baadhi ya Majaji kuwa wafi . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), ameteua Kamati Maalum kwa ajili ya hamasa kwa timu za Taifa zilizofuzu mashindano mbalimbali ya Kimataifa. Kamati hii inaundwa na Mwenye . . .
Marekani na washirika wake 11, Jumatano kwa pamoja waliwaonya wanamgambo wa Kihouthi wa Yemen, kuhusu madhara ambayo hayajabainishwa na kuwataka wasitishe mashambulizi dhidi ya meli zinazosafiri kupit . . .
Wizara ya Kilimo kupitia Wakala wa mbegu – ASA, inatarajia kusambaza Tani 2,045 za mbegu bora zilizothibitishwa ubora, ikijumuisha tani 700 za mbegu chotara ambazo zinaingizwa kutoka nje ya nchi na . . .
Sierra Leone, Jumanne imewafungulia mashitaka ya uhaini watu 12, na makosa mengine kwa ushiriki wao wa kile serekali imekiita jaribio la mapinduzi Novemba 26, imesema taarifa kwa vyombo vya habari.Kat . . .
Bondia wa ngumi za kulipwa, Hassan Mwakinyo ameiomba Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Zanzibar ‘ZAPBC’ kuweka picha ya Rais, Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika mikanda ya Ubingwa wa Taifa, kama heshima y . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, Muswad . . .
Makundi ya haki za binadamu, na waangalizi wa kujitegemea nchini Pakistan, wameelezea matumaini yao Jumatatu kuhusu haki na kuaminika kwa uchaguzi wa bunge wa Februari 8.Kwa upande mwengine yamegusia . . .