SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA BISHOP MUYOMBA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa United Methodist Church Bishop Dkt. Mande Muyomba katika ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii