Nchini Kenya, rais William Ruto ameendelea kukosolewa kwa kauli yake kuwa serikali yake haitaheshimu maamuzi ya Mahakama, yatakayopinga miradi ya serikali yake, akiwashatumu baadhi ya Majaji kuwa wafisadi na wasiojali maslahi ya umma.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe