Mamlaka zimegundua uwepo wa Kiwanda haramu kinachotengeneza Simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa Simu 1,165 Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Raia wawili wa #Chin . . .
Benki ya Dunia imesema sio rahisi ulimwengu kulifikia lengo lake la kuondoa umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2030. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya ya Benki ya Dunia iliyotolewa jana. Ripoti hiyo . . .
Jumuiya ya Nchi zinazouza petroli duniani, pamoja na Russia na wazalishaji wengine wa mafuta, Jumatano zilipunguza uzalishaji mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku.Hatua ambayo inaweza kusaidia M . . .
Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na M . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), . . .
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani Dr Bärbel Kofler, amefanya leo ziara ya kihostoria katika jiji la Tanga nchini Tanzania. Ziara yake inaleta ujumbe mzito wa uungwaji . . .
Shirika la kimataifa la fedha IMF, limesema Jumanne kwamba uchumi wa dunia uko katika kasi ya pole pole, na wala hakuna dalili za hali hiyo kubadilika kwa haraka. IMF limesema kwamba ina . . .
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limesema limeipa Tanzania mkopo wa dola bilioni 1.046 utakaotolewa katika kipindi cha miezi 40, kwa lengo la kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za vita vya . . .
Serikali imesema inatambua mchango wa mafundi sanifu nchini katika kuufikia uchumi wa kidijitali unaokwenda sambamba na matokeo ya ubunifu na mabadiliko ya teknolojia. Ameyasema hayo jijini Dar e . . .
Waziri Mkuu wa Slovania, Robert Golob ametetea uamuzi wa kufanya matengenezo ya bomba la gesi linaloleta nishati hiyo kutoka Urusi hadi Ujerumani na ameyapinga madai yaliyotolewa na Ukraine. Wazir . . .
Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku uingizaji wa hadi theluthi mbili ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa si . . .
Rais wa Marekani Joe Biden leo atakutana na gavana wa benki kuu ya Marekani Jerome Powell kwa mazungumzo kuhusu hali ya uchumi wa taifa hilo na ulimwengu kwa jumla katika wakati mfumuko mkubwa wa . . .
Hatimaye Serikali imesikia kilio cha wananchi juu ya malipo ya kuvuka daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Saalam na kubadili mfumo wa malipo ambao unaelezwa utakuwa na ahueni.Watumi . . .
Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amesema athari za vikwazo vya Urusi katika sekta ya nishati ya Ujerumani zinaweza kudhibitiwa.Waziri huyo alikuwa akizungumzia uamuzi wa Urusi kuiwekea . . .
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetoa ruzuku ya Sh100 bilioni kwa ajili ya kupunguza bei ya mafuta nchini.Akizungumza Bungeni leo Jumanne Mei 10, 2922 Waziri Makamba ames . . .