Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi kesho inatarajia kuendelea kuunguruma baada ya mapumziko y . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Desemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaa . . .
Taasisi ya habari na teknolojia ya Trump inatarajia kuzindua programu hiyo ya mitandao ya kijamii uitwayo Truth Social mapema mwaka ujao.Haya yanajiri wakati Bw Trump akiwa amepigwa marufuku kutoka kw . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam, hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na mapungufu ya kisheria.Uamu . . .
Hoja ya kumkamata Mrosso imeibuliwa na Wakili Msomi Fridolin Bwemelo ambapo amesema inafikirisha kuona aliyetoa rushwa yupo huru uraiani huku wanaoshtakiwa kwa kutoa rushwa wapo mahabusu.Wakili Bwemel . . .
Rais wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua mipaka ya kibiashara kati ya Tanzania na Uganda. Huku akiwataka mawaziri wa tume ya ushirikiano wa pande zote mbili upande wa . . .
Rais Afrika wa Afrika kusini. Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa Nchi za Ulaya na Marekani kuondoa vikwazo vya safari kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na aina mpya ya Virusi vya Corona . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Uganda ulioongozwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kati . . .
. . .