logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mapigano ya Wakulima, Wafungaji Malinyi Yachafua Hali ya Hewa

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima katika Kijiji cha Itete wilayani Malinyi wamerejea baada ya h . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha

Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali.Tukio hilo limetokea siku chache baada ya mfanyab . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • December 29, 2021

Aliyejenga kaburi barabarani apewa siku 45 kuliondoa

 Baraza la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter Nanyaro anayedaiwa kujenga kaburi katikati ya barabara kuliondoa ndani . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae.Kijana huyo ambaye alikuwa mlevi alielekea chumbani kwa baba yake na kuj . . .

Dini
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

WATANZANIA WAASWA KUILINDA AMANI YA NCHI YAO

Mufti Mkuu wa Tanzania shehe Abubakari Zuberi amewatahadharisha watanzania kuilinda amani ya nchi yetu kwamba ikiondoka kuirudisha itachukua muda mrefu.Amesema hayo katika Maulidi ya kumswalia mtume i . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Makaburi takriban 200 kuhamishwa Vingunguti kupisha athari za mto

Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuja na mpango wa kuyahamisha yaliyosalia k . . .

Teknolojia
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Kamera mpya ya utafiti wa anga za juu yarushwa kutoka French Guiana

Kamera ya James Webb Space ya NASA, iliyotengenezwa kuiwezesha dunia kufahamu ulimwengu ulivyokuwa wakati sayari za kwanza zilipopatikana, ilizinduliwa kwa njia ya roketi mapema Jumamosi kutoka pwani . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Aliyelala Kitandani Mbeya Ajikuta Ameamkia Masasi Juu ya mti

SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti Masasi mkoani Mtwara akiwa amelala fofo, amesafirishwa kurejea Mbeya. Jum . . .

Afya
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

WATATU WAZALIWA MKESHA WA KRISMASI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA

Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya njema.Akizungumza afisa muuguzi msaidizi kiongozi wa wodi y . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

TAARIFA YA KUFARIKI KWA ALIYEKUWA ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG

. . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 23, 2021

MBUNGE AFICHA MAGONGO YA MWENZAKE NCHINI KENYA

Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungeni baada ya kuficha magongo ya kutembelea ya mbunge mwenzake . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 14, 2021

Ajali ya Iringa Waliofariki wafika kumi.

Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyotokea jana katika eneo la Lungumba Kata ya Mahenge karibu na mlima Kitonga mkoani Iringa imeongezeka na kufikia kumi.Majeruhi mmoja kati ya watatu waliotoka . . .

Jamii
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

AJIUA BAADA YA MCHEPUKO WAKE KUULIWA NA MUMEWE WAKATI WA FUMANIZI.

Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema jana kuwa mwanamke aliye . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Mbaroni kwa kulewesha abiria kwenye basi

Musoma. Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na ku . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ajinyonga Mpaka Kufa Kwa Kutotajwa Jina Lake Wakati Wa Misa Ya Shukrani Kanisani

MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki kwa kujinyonga na waya kwa madai ya kutoridhishwa na kitendo cha Padri wa kanisa . . .

Kurasa 59 ya 59

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • saa moja lililopita

BODI YA USHAURI YA TARURA YAKAGUA BARABARA ZA KUINGIA UWANJA WA AFCON ARUSHA

Makala
news
  • saa moja lililopita

Watumiaji dawa za kulevya hatarini kuugua saratani ya kinywa

Habari
news
  • saa moja lililopita

Ng’ombe, mbuzi na kondoo kupewa vitambulisho

Habari
news
  • saa moja lililopita

Wajumbe wa Kamati ya Pamoja CCM na ACT Wazalendo Watangazwa

Michezo
news
  • saa moja lililopita

Man United na Man City Kukutana Kwenye Derby Kali

Habari
news
  • saa moja lililopita

Trump apigia chapuo kuungana tena kwa Ireland

Burudani
news
  • 2 siku zilizopita

Marioo, Jux Na Wasanii Wengine Kushiriki Afrimma Musicfest Dallas

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • BODI YA USHAURI YA TARURA YAKAGUA BARABARA ZA KUINGIA UWANJA WA AFCON ARUSHA

    • saa moja lililopita
  • Watumiaji dawa za kulevya hatarini kuugua saratani ya kinywa

    • saa moja lililopita
  • Ng’ombe, mbuzi na kondoo kupewa vitambulisho

    • saa moja lililopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode