Sierra Leone, Jumanne imewafungulia mashitaka ya uhaini watu 12, na makosa mengine kwa ushiriki wao wa kile serekali imekiita jaribio la mapinduzi Novemba 26, imesema taarifa kwa vyombo vya habari.Kat . . .
Bondia wa ngumi za kulipwa, Hassan Mwakinyo ameiomba Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Zanzibar ‘ZAPBC’ kuweka picha ya Rais, Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika mikanda ya Ubingwa wa Taifa, kama heshima y . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, Muswad . . .
Makundi ya haki za binadamu, na waangalizi wa kujitegemea nchini Pakistan, wameelezea matumaini yao Jumatatu kuhusu haki na kuaminika kwa uchaguzi wa bunge wa Februari 8.Kwa upande mwengine yamegusia . . .
Mashambulizi ya anga mashariki mwa Syria, ambayo kuna uwezekano yamefanywa na Israel, yameua wapiganaji 23 wanaoiunga mkono Iran, Jumamosi, waangalizi wa vita wameripoti vifo zaidi vinne kaskazini mwa . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na w . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na polisi wa mkoa wa Ruvuma wamemkamata Rakeshi Kato (24) maarufu kama Mayele kwa mauaji ya Afisa wa JWTZ aliyemchoma kwa kitu chenye nch . . .
Jeshi la Polisi nchini, limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Novemba 12, 2023 kisha kukimbia.Akitoa taarifa h . . .
Wazazi wa Kata ya Nyangao Wilayani na Mkoa wa Lindi, wametakiwa kukumbuka kuandaa mahitaji muhimu ya Wanafunzi wakati huu wa kuelekea kufunguliwa kwa shule zote nchini ifikapo Januari 8, 2024.Hayo ame . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, imemuhukumu Makungu Juma (41) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 12.Hukumu hiyo, imetolewa na Hakim . . .
Wanawake wa Baraza kuu la Wanawake wa Kiislam Tanzania Mkoa Manyara, wamefika katika mji wa Katesh Wilayani Hanang kutoa mkono wa pole kwa Wanawake wenzao wa kiislam waliondokewa na wenza wao katika m . . .
Kufuatia mlipuko wa kihisia ambao umeibuka katika mitandao ya kijamii baada ya Mwindaji kutoka nchini Marekani Josh Bowmer kutamba kwenye mitandao baada ya kumuua Mamba mkubwa zaidi Duniani aliyekuwa . . .
Waandamanaji hao waliitaka mahakama kuingilia kati ili kubatilisha uamuzi huo ambao wanasema utawaondoa wafanyakazi pamoja na ulinzi kwa mnunuzi.Maelfu ya raia wa Argentina waliingia katika mitaa ya B . . .
Matumizi ya dawa za kulevya na ulevi wa kupindukia wa baadhi ya watu katika jamii, vimetajwa kuwa ni sababu mojawapo inayopelekea wao kujiingiza kwenye utendaji wa matukio ya kiuhalifu.Hayo yamebainis . . .
Kamati ya Mambo ya Kigeni ya Bunge la Uturuki imeridhia maombi ya Sweden kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO, uamuzi unaoongeza matumaini kwa taifa hilo kukaribia kuwa mwanachama kamili wa mfangam . . .
WASHUKIWA 34 wa uhalifu walikamatwa usiku wa kuamkia Jumatano, Desemba 27, 2023 katika Kaunti Ndogo ya Starehe, Nairobi kufuatia oparesheni iliyoendeshwa kukabiliana na visa vya uhuni msimu wa Krismas . . .
Licha ya wasiwasi mkubwa wa kibinadamu, jeshi la Israel limeongeza mashambulizi kwenye Ukanda wa Gaza siku ya Jumatano kama sehemu ya operesheni yake dhidi ya Hamas , huku likibaini kwamba operesheni . . .
Waziri wa Mambo ya Nje Nchini Zambia, Stanley Kakubo amejiuzulu nafasi hiyo saa chache baada ya kukumbwa na kashfa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na shutuma za kufanya biashara na mfanyabiashara . . .
Serikali ya Iraq imeyaita mashambulizi ya Marekani kuwa ukiukaji usiokubalika wa uhuru wa IraqIraq imelaani mashambulizi ya anga ya Marekani ya Jumanne katika eneo la Iraq, na kukiita “kitendo cha c . . .
Stanley Kakubo, aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Zambia katika picha iliyochukuliwa mjini Washington, Dec. 13, 2022.Kakubo alisema katika barua yake kwamba anaacha kazi kwa sababu ya madai mabaya j . . .
Watu watano waliokolewa na wengine 20 walisombwa na maji. Juhudi za kuwatafuta na kuwaokoa wengine zinaendelea katika eneo.Mvua kubwa ilisababisha maporomoko ya ardhi mashariki mwa Congo usiku wa kuam . . .
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika I . . .
Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – FARDC, vimetoa onyo kwa kituo cha televisheni cha Nyota cha mwanasiasa wa upinzani Moïse Katumbi na vyombo vingine vya habari kwa taarifa amba . . .
Eneo lililotokea shambulio hilo liko kwenye mstari unaoligawa eneo kati ya Waislam walio wengi huko kaskazini na Wakristo wa kusini nchini Nigeria, kwa miaka mingi wamekuwa wakikabiliwa na mivutano ya . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama linaendelea kuimarisha ulinzi ambapo limebainisha kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya litah . . .
Watu watatu waliojifungia ndani ya nyumba katika kaunti ndogo ya Lugari waliuawa kwa kudhaniwa walikuwa wakishiriki uchawi. Watatu hao ambao ni wakongwe walivamiwa ndani ya nyumba na wakaazi wa k . . .
Vikosi vinavyotaka kujitenga vya Tuareg, Jumatano vimetangaza kuweka vizuizi katika barabara muhimu za kaskazini mwa Mali, ambako jeshi limeingia katika njia hizo katika wiki za karibuni.Muungano wa k . . .
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema zoezi la kuhakiki waathiriwa wa maafa ya maporomoko ya udongo,mawe na magogo Hanang’ linaendelea ili kuwathibiti wasiokuwa waaminifu wanaotaka kujinufai . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tareh . . .
Baada ya baadhi ya watu kumtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, ajiuzulu kuonesha uwajibikaji kufuatia madai ya baadhi ya wajawazito kujifungulia kwenye sakafu katika Kituo cha Afya cha Buzuruga, jijini . . .