Wanandoa Wakongwe Pamoja na Mgeni Wao Wauwawa Kufuatia Tuhuma za Ushirikina

Watu watatu waliojifungia ndani ya nyumba katika kaunti ndogo ya Lugari waliuawa kwa kudhaniwa walikuwa wakishiriki uchawi. 


Watatu hao ambao ni wakongwe walivamiwa ndani ya nyumba na wakaazi wa kijiji cha Duka Moja.


Arnold Ambuchi mwenye umri wa miaka 59 na mkewe Seraphine Muloki, 54, walikuwa wamemkaribisha rafiki ambaye majirani walishuku kuwa alikuwa mchawi sugu. Mgeni huyo alitambulika kwa jina la Ayub Lusweti mwenye umri wa miaka 60 kutoka kijiji jirani cha Matete. 



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii