Rais wa Iran Jumatatu amesema nchi yake inauza nje mafuta mara mbili zaidi ya wakati alipoingia madarakani mwezi Agosti, na licha ya vikwazo vikali kwa mauzo ya mafuta ya Iran vilivyowekwa na Ma . . .
Hatua ya Zimbabwe ya kusitisha ukopeshaji wa benki itakuwa na matokeo mabaya, itaunda mfumo sambamba wa benki na kukwamisha juhudi za kuboresha uchumi unaodorora, wakuu wa sekta ya biashara nchi . . .
Matajiri na maskini sasa wanaishi katika mazingira yanayowiana, hivyo ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kile kinachoonekana katika jamii huku wafanyabiashara wakijaribu kuweka usawa wa maisha kwa wat . . .
Waislamu na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kubadili tabia kwa kutenda yaliyo mema na kuyaendeleza hata baada ya kumalizika mfungo.Rai hiyo ilitolewa na Mweny . . .
Baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa katika miji ya New York na Los Angeles Marekani, gari lililoonekana likiendeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika filamu hiyo, limekuwa kivutio kipya ch . . .
Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia Da . . .
Mtandao wa Google umezindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi Kenya ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika ambacho kitakua kikifanya kazi ya kujenga bidhaa na huduma za ‘mabadili . . .
Italy siku ya Jumatano iliingia mkataba na Angola ili kuongeza usambazaji wa gesi kutoka nchi hiyo ya kusini mwa Afrika huku ikihangaika kujitenga haraka na gesi ya Russia kutokana na vita vya . . .
Muda mfupi baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Innocent Bashungwa kutoa maagizo kwa uongozi wa Jiji la Mwanza kutokana na video iliyosambaa mtandaoni ikionyesha watu wanaodaiwa kuwa mg . . .
Serikali imetimiza ahadi yake ya kuwaadhibu wauzaji mafuta wanaoficha mafuta huku kukiwa na uhaba wa bidhaa hiyo kote nchini kote.Mnamo Jumatano, Aprili 13, 2022, serikali ilifuta kibali cha kufanya k . . .
Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Petroli (OPEC) Mohammed Barkindo ameonya maofisa wa Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo kwa Urusi ambavyo amedai vinaweza kuibua mshtuko mbaya zaidi kuwahi kutok . . .
Benki ya Dunia imesema kuwa uchumi wa Ukraine unatarajiwa kudorora kwa karibu nusu kutokana na uvamizi wa Urusi kufunga biashara na kupunguza mauzo ya nje.Katika ripoti yake iliyoitoa jana Jumapil . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2021, mfumuko wa bei ulikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 mwaka 2020.Majaliwa amezungumza hayo leo Jumatan . . .
Wakati bei ya Mafuta yanayotumika kwenye vyombo vya moto ikitangazwa kupanda mara dufu, wananchi wa jiji la Dar es salaam wameonekana usiku wa kuamkia Leo wakipanga foleni katika vituo vya Mafuta . . .