#TANZIA #Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 6,2025 akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, taarifa kuhusu taratibu za mazishi zitaendelea kutolewa hivi karibuni.