'WATAPATA HASARA SISI TUKIONGEA' MENEJA WA HARMONIZE JEMBE NI JEMBE

Amefunguka juu ya kuondoka kwa wasanii kwenye Lebo ya Konde Gang ikiwa ni pamoja na "machawa'

Meneja wa Harmonize ambaye pia ni CEO wa Jembe Media Limited inayomiliki kituo cha Jembe Fm, Dr. Sebastian Ndege al maarufu Jembe ni Jembe, amezungumza leo na Natty E wa kipindi cha Hit Zone kinachochapa mangoma ya kileo kinachoruka mchana majira ya saa
13:00 hadi 16:00Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii