Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania, wamekutwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, wakijihusisha na biashara ya . . .
Serikali imesema kwamba taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kampuni moja kutoka Saudi Arabia imepata mkataba wa uwekezaji wa kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo sio za kweli.Ta . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahar . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili leo, tarehe 14 Februari 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia, kwa ajili ya . . .
Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 amekuwa Papa tangu 2013 na amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya mara kadhaa.Papa Francis amepelekwa hospitali leo Ijumaa saa za asubuhi za Italia kwa ajili y . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda kutumia anga yake kutokana na vita vya uchokozi vinavyoendelea, Shirika la Habari la Kongo (ACP) limetan . . .
Mwanadiplomasia wa Urusi amefukuzwa nchini Uingereza katika mzozo wa hivi karibuni wa kurushiana maneno baada ya Moscow kumtimua afisa wa Uingereza mwaka jana.Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David . . .
Nchi ya Burundi, imetuma wanajeshi wake katika eneo la Gatumba kwenye mpaka wa DRC, ambapo wanatarajiwa kutumwa katika Mji wa Bukavu, Mji Mkuu wa Kivu Kusini.Tangu mwaka wa 2023 mwezi Septemba, B . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani WHO, huko Gaza amesema Alhamisi kuwa njia zaidi za kutoka zinahitajika ili kufanya uokozi wa kimatibabu kwa maelfu ya Wapalestina wakiwemo . . .
waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.Mwito huo umetolewa baada ya Rais Donald Trump wa . . .
Wapiganaji wa Hamas wamelaani vikali matamshi ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mipango yake ya kuidhibiti Gaza na kuwahamishia wakaazi katika mataifa mengine iwapo wanataka kuondoka au la.Trump . . .
Taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la Uingereza (BBC) zinasema mwandishi wa mkongwe nchini ambaye aliwahi kuwa mtangazaji wa BBC, Ahmed Rajab amefariki dunia jana jioni huko London, Uingereza.A . . .
Takriban watu 10 Jumanne wameuwawa kwenye ufyatulianaji wa risasi kwenye kituo kimoja cha elimu kati kati mwa Sweden akiwemo mshambuliaji, maafisa wa polisi wamesema.Shambulizi hilo limeorodheshwa kuw . . .
Jeshi la Uganda, UPDF katika taarifa yake limesema litaimarisha ulinzi katika maeneo yake ya oparesheni hadi pale ambapo hali ya kawaida itakaporejea nchini DRC.Kwa mujibu wa UPDF, hatua hii imechukul . . .
Mamlaka nchini Marekani zimesema zimefanikiwa kukipata kisanduku cheusi cha ndege ya abiria iliyogongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk na kusababisha maafa makubwa.Ajali hiyo imesababisha vifo . . .
Siku chache tangu aliyekuwa Mmiliki wa Shule za Alliance, James Bwire kufariki dunia, mama yake mzazi, Nchagwa Manga naye amefariki dunia leo, Januari 31, 2025 muda mfupi kabla ya kufanyika kwa shughu . . .
Sheikh maarufu nchini, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, kifo chake kimetokea katika Hospita . . .
Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Kongo kuzungumza tangu mashambulizi ya waasi katika siku za hivi karibuni mashariki mwa nchi hiyo, huko Goma. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, rais wa Kongo ametangaz . . .
Jumuia ya Afrika Mashariki Jumatano imeitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzungumza na “wadau wote”, wakiwemo wapiganaji wanaoungwa mkono na Rwanda, ili kumaliza mapigano katika eneo la masha . . .
NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki amemwambia mtangulizi wake Rigathi Gachagua kuwa kauli yake kwamba Rais William Ruto atakuwa rais wa muhula moja ni ndoto na halitakuwa jambo rahisi kutimiza.Ubabe k . . .
Shirika la ndege la Ubelgiji limetangaza kusitisha safari zake za leo Jumatano kwenda na kutoka jijini Kinshasa kutokana na machafuko yalioshuhudiwa kwenye eneo hilo.Uharibifu wa mali uliripotiwa Kins . . .
Maelfu ya watu katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazoongozwa na serikali za kijeshi Jumanne waliandamana kuunga mkono uamuzi wa nchi hizo wa kujiondoa kwenye Jumuia ya kiuchumi ya nchi za A . . .
Kundi la waasi wa M23 Jumanne lilichukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa mji wa Goma, chanzo cha usalama kimesema, kufuatia mapigano ya siku tatu ambayo yameua zaidi ya watu 100.Karibu watu 1,000 walij . . .
Maelfu ya Wapalestina walimiminika kuelekea Gaza city Jumatatu, huku Israel ikifungua vituo vya ukaguzi na kuwaruhusu watu kurejea katika maeneo ya kaskazini mwa eneo hilo ambalo lilikuwa limefungwa t . . .
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Kiislamu waliwaua wanajeshi 20 wa Nigeria, akiwemo kamanda mmoja, baada ya kushambulia kambi ya kijeshi katika mji wa mbali kaskazini mashariki mwa jimbo la . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za Afrika na kichocheo cha utekelezaji . . .
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amepongeza wanafunzi, walimu, na uongozi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, kufuatia mafanikio makubwa ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo Gir . . .
Rais wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh amesema ana nia ya kuchukua tena udhibiti wa chama chake cha siasa na kutangaza kwamba “anarudi nyumbani”, katika ujumbe wa sauti ambao shirika la habari la A . . .
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu . . .
Sudan Kusini Jumatano imeamuru kampuni zinazotoa huduma za intaneti kuzuia mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na TitTok, kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyochochewa na vifo vya raia wake wiki i . . .