Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari Mkurugenzi mtendaji wa CEO ROUNDTABLE TANZANIA Ndugu Santina Benson, CEOrt inaongozwa na kanuni za uongozi wa kimaadili na inakuza ushirikiano kati ya sekta . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kubuni vyanzo vya mapato ambavyo ni himiilivu na visivyoumi . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imelipongeza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kuendesha Mfuko wa Taifa Kuendeleza Wajasiliamali Wananchi (NEDF) kwa . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa wawekezaji kutoka Kiwanda cha Pioneers Chemical Factory ch . . .
Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. David Concar kwa lengo la kuendeleza ushirikiano na Uinge . . .
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekihakikishia Chama cha Watoa Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA) kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya biashara yat . . .
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wakubwa wa madini ya Vito ndani na nje ya nchi ili kuwawezesha wachimbaji wa madini k . . .
SHEHENA: Shehena ya mbolea ikiwa katika moja ya maghala yaliyopo mkoani Mbeya tayari kwa matumizi wakati wa msimu wa kilimo.Mkaguzi wa mbolea Allan Mariki, akikagua ubora wa mbolea katika moja ya ghal . . .
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amefanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi kutoka mgodi wa Nyanzaga (Nyanzaga Mining Company Limited) uliopo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza lengo ikiwa ni ku . . .
Kampuni ya Unicom ya China imekuwa kampuni kubwa ya hivi punde zaidi ya mawasiliano ya simu nchini China kupigwa marufuku kutoka Marekani kwa sababu ya wasiwasi "muhimu" wa usalama wa taifa na u . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watanzania kushirikiana na kushikamana ili kuyapa thamani madini ya Tanzanite na kuifanya dunia nzima itambue kuwa madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania t . . .
Licha ya mlipuko wa virusi vya corona, watu matajiri barani Afrika wameongeza utajiri wao zaidi ya walivyokuwa miaka minane iliopita.Mabilionea wa bara hili kwa jumla walijipatia $84.9 bilioni i . . .
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini Jesca Msambatavangu amefanya mazungumzo binafsi na wajumbe wa baraza la vijana la wilaya ya Iringa Mjini chini ya Mwenyekiti wake Ndg Salvatory NgereraKatika mazu . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi December 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo la kukusanya Tsh. Trilioni 2.29, makusanyo hayo yana ufanisi wa 109% na ndich . . .
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka za Usafiri wa Ardhini (Latra) nchini kuendeleza zoezi la ukaguzi wa tiketi za abiria kwenye vituo vya mabasi vya mikoa kwa kuwa . . .