Serikali imetimiza ahadi yake ya kuwaadhibu wauzaji mafuta wanaoficha mafuta huku kukiwa na uhaba wa bidhaa hiyo kote nchini kote.Mnamo Jumatano, Aprili 13, 2022, serikali ilifuta kibali cha kufanya k . . .
Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Petroli (OPEC) Mohammed Barkindo ameonya maofisa wa Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo kwa Urusi ambavyo amedai vinaweza kuibua mshtuko mbaya zaidi kuwahi kutok . . .
Benki ya Dunia imesema kuwa uchumi wa Ukraine unatarajiwa kudorora kwa karibu nusu kutokana na uvamizi wa Urusi kufunga biashara na kupunguza mauzo ya nje.Katika ripoti yake iliyoitoa jana Jumapil . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2021, mfumuko wa bei ulikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 mwaka 2020.Majaliwa amezungumza hayo leo Jumatan . . .
Wakati bei ya Mafuta yanayotumika kwenye vyombo vya moto ikitangazwa kupanda mara dufu, wananchi wa jiji la Dar es salaam wameonekana usiku wa kuamkia Leo wakipanga foleni katika vituo vya Mafuta . . .
Benki kuu ya Zimbabwe Jumatatu imetangaza kwamba imeongeza kiwango chake cha riba hadi asilimia 80 katika jitihada za kudhibiti mfumuko wa bei uliofikia kiwango cha juu sana kutokana na athari z . . .
Rais wa Senegal alilihutubia taifa katika mkesha wa kuadhimisha miaka 62 ya uhuru wa nchi hiyo. Wakati Waislamu wakianza mfungo wa Ramadhani Jumapili hii, Aprili 3 na Wakrist . . .
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi ametangaza kwamba pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya Marekani kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Umma (IEBC), imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma(DPP) Noordin Haji ikimtaka achunguze madai kuwa Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanatumi . . .
Serikali ya Kenya imesema kuwa inatarajia uchumi wake kuimarika kwa asilimia 6% mwaka huu , baada ya kunawiri kwa asilimia asilimia 9.9% katika robo ya tatu ya mwaka wa kifedha wa 2021 pamoja na k . . .
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amekutana na Rais wa Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa (ECOSOC), Collen Kelapile katika kikao kilicholenga kupata maelezo kabla ya kushiriki kikao cha . . .
hirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa wito kwa wafanyabiashara kutumia huduma ya msaada wa kitaalamu kwa wasafirishaji wa bidhaa nje ya nchi ili kuepukana na usumbufu wa bidhaa kurudishwa nchin . . .
Vijana waendesha bajaji Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kupata mikopo ya vijana, wana . . .
Kampuni ya Peak Resources Ngualla (PRNG) itakayojihusisha na uchimbaji wa madini ya teknolojia ya Rare Earth Elements ambayo yanatumika kutengeza Magari, ipo katika hatua za mwisho za makubaliano . . .