Benki kuu ya Zimbabwe Jumatatu imetangaza kwamba imeongeza kiwango chake cha riba hadi asilimia 80 katika jitihada za kudhibiti mfumuko wa bei uliofikia kiwango cha juu sana kutokana na athari z . . .
Rais wa Senegal alilihutubia taifa katika mkesha wa kuadhimisha miaka 62 ya uhuru wa nchi hiyo. Wakati Waislamu wakianza mfungo wa Ramadhani Jumapili hii, Aprili 3 na Wakrist . . .
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi ametangaza kwamba pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya Marekani kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Umma (IEBC), imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma(DPP) Noordin Haji ikimtaka achunguze madai kuwa Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanatumi . . .
Serikali ya Kenya imesema kuwa inatarajia uchumi wake kuimarika kwa asilimia 6% mwaka huu , baada ya kunawiri kwa asilimia asilimia 9.9% katika robo ya tatu ya mwaka wa kifedha wa 2021 pamoja na k . . .
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amekutana na Rais wa Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa (ECOSOC), Collen Kelapile katika kikao kilicholenga kupata maelezo kabla ya kushiriki kikao cha . . .
hirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa wito kwa wafanyabiashara kutumia huduma ya msaada wa kitaalamu kwa wasafirishaji wa bidhaa nje ya nchi ili kuepukana na usumbufu wa bidhaa kurudishwa nchin . . .
Vijana waendesha bajaji Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kupata mikopo ya vijana, wana . . .
Kampuni ya Peak Resources Ngualla (PRNG) itakayojihusisha na uchimbaji wa madini ya teknolojia ya Rare Earth Elements ambayo yanatumika kutengeza Magari, ipo katika hatua za mwisho za makubaliano . . .
Mkuu wa shirika la fedha duniani IMF, Kristalina Georgieva, amekutana na mawaziri wa fedha wa mataifa ya Afrika jana Alhamisi, kujadili athari za uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Amesema mtazamo . . .
Sekta ya madini nchini imeweka historia ya mauzo ya moja kwa moja ya madini yenye thamani ya shilingi Trilioni 8.3 kwa kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza . . .
Bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi ( PSPTB ) imetangaza matokeo ya mtihani wa 23 ya kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi ambapo wanafunzi 230 wanatakiwa kujisajili upya wakitarajiwa kurudia tena mtihan . . .
Shirika la Umeme (TANESCO) limesema kuanzia Julai mwaka huu litakuwa na mfumo wa ununuzi wa umeme ambao utawezesha wateja wao kuweka umeme kwenye mita papo hapo (automatically) tofauti na wa sasa . . .
Marekani inapiga marufuku uagizaji wowote wa mafuta na gesi ya Russia, Rais Joe Biden alitangaza Jumanne hatua ambayo alisema italeta pigo jingine kubwa kwa mashine ya vita vya Putin, huku vikos . . .
ya taa kwa miezi mitatu kuanzia mwezi Machi.Taarifa iliyotolewa Jumatatu Februari 28, 2022 na Wizara ya Nishati imesema kuwa sababu za kuondoa tozo hiyo ni kutokana na kuendelea kupanda kwa . . .